Niulize chochote kuhusu mambo ya Uswahilini

Niulize chochote kuhusu mambo ya Uswahilini

kwanini matukio ya kupiga chabo yanapatikana sana uswahilini?
 
Hapa kuna maswali mengi inaonekana karibu watu wote siku hizi wanaishi uswazi.



Hamna ni uzoefu tu,nikiwa nimeishi krsn,kwasasa tabata segerea ndg wengine keko,mwembeyanga,magomeni,sinza,mbezi beach,kimara ivo maisha n mzunguko tunajifunza kulingana na mazingira.
 
Kila mtaa majina haya hayakosi,Mwajuma,asha,chausiku,mwanjaa,Rama,Mudi,kipala,cha pombe, alafu ikifika saa saba mchana unasikia harufu ya Ngulu,dagaa,au maharage yanaungua,usku harufu ya udI

Kuacha jina la mwanaasha huitendei haki uswazi.
 
Hamna ni uzoefu tu,nikiwa nimeishi krsn,kwasasa tabata segerea ndg wengine keko,mwembeyanga,magomeni,sinza,mbezi beach,kimara ivo maisha n mzunguko tunajifunza kulingana na mazingira.

Kweli kabisa mkuu.
 
Mbona polisi jamii ya Buguruni haichukui hatua dhidi ya mala.ya wanaozagaa buguruni usiku ? wana kera sana ukitokea Malta kuja mpaka chama
 
GOJA NIMSAIDIE KUJIBU
"Hio umaanisha maeneo hayo kunauzaa kijiti (bangi)


Sio Bangi tu sana sana Unga hta mimi ninapo kaa ni mtaa wa pili tu hapo vitu vina patikana tena wanaita Ngada kwa huku Bugurun Madenge huku.
 
Maneno ya shombo yanapatikana zaidi uswahilini kwa nini!?
 
Hahahaaaa...!!! Dah uswaz
Nimekumbuka kuna siku niko na jamaa angu katika moja na mbili tumesema tupige mitaa kwa mitaa dah laahulla tumepita chocho kufika mbele njia haitoi tumekuta wahuni kibao wanapiga jim duh mavi yaligonga chupi af me ndo niko mbele nlivogeuka fasta af kimya kimya utadhan mtu katoka kuamka sura ina mitongo tongo af kakutana na dem mkali af akapewa salamu inabidi akae kimya mana domo linanuka.
Ebhana uswaz nuksi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom