MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,009
Uswazi kuna vibanda vingi vya kuazimia dvd,je uwa wanaaminiana vipi adi kumuazima mtu, na bei ya kuazima ni sh ngapi na ni kwa mda gani.?
mkuu huku tunajuana mpaka basi mimi naijua karibu magomeni nzima hivyo kwa kuweka kumbukumbu sawa tunaandika mtu na cd aliyochukua kwa masaa 24 yaani akichukua saa2 asubuhi kesho saa mbili iwe imesharudi