Niulize chochote kuhusu mambo ya Uswahilini

Niulize chochote kuhusu mambo ya Uswahilini

Nakubali yawezekan a nikawa nimechemka lakini bado yote nimadawa yakulevya hivyo sijakosea sana
 
mbona mdau kakimbia mada au ndo kaenda piga kwanza cha mchana
 
Mambo ya pwani yana wenyewe na jambo kubwa la kwanza ni lugha ya Kiswahili, lugha ambayo kwa uchunguzi wangu hapa jf wengi inawashinda.
 
uswahilini raha asee... lazima nkapange uko walau miezi sita ya kwanza nkianza kazi!!! wake za watu watanikoma
 
Karibu sana kwetu,kuna raha sana coz ukifumaniwa tu namke wa mtu utashuhudia mengi yenye faida kwako,faida kubwa utakayoipata nikushuhudia vigegedo vya aina tofauti kwa men wenzako huku vikiingia na kutoka ktk mnyeo wako,hapo ndo utajua kuwa upo ktk kundi gani kati ya vibamia au mihogo!
uswahilini raha asee... lazima nkapange uko walau miezi sita ya kwanza nkianza kazi!!! wake za watu watanikoma
 
Hahaha uishi kwenye nyumba ya kupanga halafu hujaoa! Mmghhh utatamani usioe kamwe nakumbuka sana Mwananyamala kwa bibi fulani
 
Hesabu ya wapi hii inaanza juu kuja chini?

Back to topic buku inatoshawkwa bajeti ya kulisha familia kwa siku? tupe na mchanganuo wa bei ya vichwa vya kuku dagaa kauzu na mafuta ya kupima.

ina shangaza hii....
 
kwanini uswazi jambo kidogo tuu lazma muweke kigodoro?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom