MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,009
Kwanini wanependa kula nje ya nyumba
hii sana sana mwezi wetu mtukufu ila ukiona tunakula nje jua siku hiyo tumekula maini (maharage) hapo tunakuwa tumebadilisha mboga
Kwanini wanependa kula nje ya nyumba
Biashara Ya Ngozi Ya Kuku Inatosha Mtaji Gani Kwa Kuanzia
Mtoa Mada Hakujiandaa
mkuu una uzoefu ??
Halafu kwa nn uswazi kunaongoza kwa kuwa na bendera nyingi za vyama siasa? uzunguni sijawahi ona bendera zinapeperushwa!
Kwanini mnapenda sana kunywa viroba kikulacho
Vibudu (utumbo wa kuku, vichwa, miguu na firigisi)! Huwa najiuliza vinapatikana wapi kwa wingi vile kila siku kiasi kwamba mtu ndiyo biashara yake kila siku??
Kwanini uswazi wamama wanapenda kupiga muziki wa taarabu tena sauti ya juu ?
tabia ya kumendeana chooni imekaaje huko
Kila mtaa majina haya hayakosi,Mwajuma,asha,chausiku,mwanjaa,Rama,Mudi,kipala,cha pombe, alafu ikifika saa saba mchana unasikia harufu ya Ngulu,dagaa,au maharage yanaungua,usku harufu ya udI
Mi nakaa Kiparang'anda, hewa safi, hakuna mbu.Ina maana mliouliza maswali wote mnakaa Oysterbay Na Masaki?
mkuu sasa huku ni darasa la saba mambo ya chris brown tutaelewa wapi ?
kila j2 jahazi travelntine magomeni na mzee yusuph
kuhusu sauti kubwa tunarushana roho ndio maana taarabu inajulikana kama rusha roho
tangu tulivoamia digitali kwanini watu wengi wa uswazi walisusia ving'amuz na badala yake wananunua deki za kuangalizia bongo movie.?