Niulize chochote kuhusu mambo ya Uswahilini

Niulize chochote kuhusu mambo ya Uswahilini

Ina maana mliouliza maswali wote mnakaa Oysterbay Na Masaki?

tunakaa mwembeyanga na kaskazin pemba kule wanaume wanaogeuzanaga wenyewe kwa wenyewe.
kule ambapo kipind cha mfungo kitimoto huwa adimu sana
 
Natamani maswali yanayoulizwa yajibiwe..haka kauzi katakuwa katamu kweli
 
Ina maana mliouliza maswali wote mnakaa Oysterbay Na Masaki?

Kwa akili yako ya kigunya unaona masaki na oysterbay ndio sio uswazi. Ndio maana wapemba mnakaliwa / tawaliwa kimabavu na wa Unguja
 
Kwanini mnapenda sana kunywa viroba kikulacho
 
Kujenga vyoo passport size huwa mnafanya makusudi kununua tofari chache au

mkuu ile inakuwaga bajeti mtu ana watoto watano tumbo linadai ni bora kichwa kibaki nje mambo yote ndani ila wengine tunazungushia bati na kapazia
 
Kila mtaa majina haya hayakosi,Mwajuma,asha,chausiku,mwanjaa,Rama,Mudi,kipala,cha pombe, alafu ikifika saa saba mchana unasikia harufu ya Ngulu,dagaa,au maharage yanaungua,usku harufu ya udI
 
Hesabu ya wapi hii inaanza juu kuja chini?

Back to topic buku inatoshawkwa bajeti ya kulisha familia kwa siku? tupe na mchanganuo wa bei ya vichwa vya kuku dagaa kauzu na mafuta ya kupima.

mkuu buku huku kwetu inatosha matembele utachuma karibu na choo
kichwa cha kuku 50
dagaa fungu 200
masalo ya 100
mafuta kipimo 200 utapikia mara mbili
licha ya kuonekana tunakula hovyo ila hatuumwi magonjwa ya moyo
 
Elezea kuhusu chabo mana uswazi ndo mahali pake!

chabo bado zipo mkuu ndio inatoa stimu ya magoli ya mikono usisahau chumba kimoja baba mama ma watoto watatu
 
Uswazi sometime raha sana,enzi zangu nili kua nawachetua sana mabeki tatu,akitumwa dukani tu na mbananisha kichochoroni funua fasta una kula kimoko au akienda kuchota maji basi una vizia njiani una kula mzigo.

mkuu una uzoefu ??
 
Inakuaje unakuta mtaa unaufata unatokea chooni kwa mtu? Halafu ukimuliza anakua mkali eti mwanzo hujamsalimia?

wakati unapita hukumuona ??
mkuu inabidi tubanane ili tuishi wote kwa upendo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom