KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,150
- 40,921
Karibuni wapendwa...
nijulishe vipimo vya sukari......
karibuni wapendwa...
sukari kwa kawaida tunaanzia buku 2...mpaka shilingi 100....
Kujenga vyoo passport size huwa mnafanya makusudi kununua tofari chache au
Vp kwan vigodoo vinaendelea au?karibuni wapendwa...
why there many mosques than churchs?????karibuni wapendwa...
Maeneo ya uswazi yenye pair za viatu (hasa hasa viatu vya rubber) vinavyo ning'inizwa katikati ya nguzo za mbili za umeme wa high voltage huwa yana wakilisha/ kitu/ maana gani?
Karibuni wapendwa...
Karibuni wapendwa...
Hesabu ya wapi hii inaanza juu kuja chini?
Back to topic buku inatoshawkwa bajeti ya kulisha familia kwa siku? tupe na mchanganuo wa bei ya vichwa vya kuku dagaa kauzu na mafuta ya kupima.