El Maggy
Member
- Jun 24, 2021
- 98
- 44
Samahani naomba kujua,nawezaje kuona gharama za masomo ngazi ya diploma kwa vyuo vilivyo under TCU kwa sababu vilivyo under NACTE kwenye guide book unazikuta gharama za Kila chuo
Nenda ukaGoogle my friend
Samahani naomba kujua,nawezaje kuona gharama za masomo ngazi ya diploma kwa vyuo vilivyo under TCU kwa sababu vilivyo under NACTE kwenye guide book unazikuta gharama za Kila chuo
Wakati naomba AVN,nimepata hii changamoto, natakiwa kufanyaje wakuu?View attachment 1917438
Mkuu mie nimeomba mkopo HESLB lkn chuo cjaapply koz nimebadilisha mawazo ya kwenda chuo mwaka huu ,,,, sasa mkuu hii imekaaje mwakani ctaapply mkopo koz nimeeshaapply mwaka huu au ntaapply tena mkopo mwakani ama hii imekaaje?
Msaada mkuuu
Kaka unamaanisha ntaapply mkopo mara ya 2,,,, hiii ya mwaka huu itakuwa ndo bac tena!!??
hivi ni kweli mtu anayewahi kupata chuo first round kwa coz zenye kipaumbele kama afya anakuwa na nafasi kubwa ya kuwahi kupata mkopo?
Hivi kama fomu zako ulizoombea mkopo zina kasoro majina yako wapi au utajuaje?...kuna dogo ananisumbua hapa na sina clue.Utaaply vizuri tu, huwa wanafuta account zisizo za wanufaika..
Hivi kama fomu zako ulizoombea mkopo zina kasoro majina yako wapi au utajuaje?...kuna dogo ananisumbua hapa na sina clue.
Hapana, mkopo wa loan board ni kwa ajili wa Wanafunzi wa elimu ya juu (DEGREE) jaribu kutafuta mashirika binafsi labda yanaweza kukusaidiaHv mkuu kuna possibility yoyote kupata mkopo kwa watu wa diploma ya afya
Swali. Je kuna second selection ya vyuo upande wa Nacte ? Najua kuna nafasi huwa zinatokea vyuoni baada tarehe ya mwisho kuripoti first selection.habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana
SUA.
![]()
UDSM
![]()
MZUMBE
![]()
UDOM
![]()
IFM
![]()
TIA
![]()
CBE
![]()
TIA
![]()
NIT
![]()
Second selection kwa Nacte zinatokea mara chache sana sio kila mwaka jiandae kwa March intake au apply vyuo vya private Bado wanadahili.Swali. Je kuna second selection ya vyuo upande wa Nacte ? Najua kuna nafasi huwa zinatokea vyuoni baada tarehe ya mwisho kuripoti first selection.
Nmefanya application nkachaguliwa UDSM na UDOM,nkaconfirm UDSM lakini leo nmeingia kwenye account yangu kile kipengele cha selection result hakipo.Je, kuna tatizo au ni jambo la kawaida tuhabari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana
SUA.
![]()
UDSM
![]()
MZUMBE
![]()
UDOM
![]()
IFM
![]()
TIA
![]()
CBE
![]()
TIA
![]()
NIT
![]()
Hii inahusu afya tu ama ni kozi zote??hapatakuwa na second round kwa kozi zote ama inakuaje mkuu???Second selection kwa Nacte zinatokea mara chache sana sio kila mwaka jiandae kwa March intake au apply vyuo vya private Bado wanadahili.
Nmefanya application nkachaguliwa UDSM na UDOM,nkaconfirm UDSM lakini leo nmeingia kwenye account yangu kile kipengele cha selection result hakipo.Je, kuna tatizo au ni jambo la kawaida tu