Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

Mkuu kuna mdogowangu alikuwa mnufaika wa bodi ya mkopo ila mwaka wa kwanza tu akaliwa kichwa hivyo anahitaji kulipa hiyo asilimia 25 ili haweze kujalibu bahati yake,, sasa anashindwa namna ya kurequest control number ili haweze kulipa.
Msaada wako mkuu
 
Umesha register kwny Repayment system.!?
 
najibu mie hapa verfication number ya rita unapata mda ule ule ulioomba chet kuwa verfied ila sijajua kam wanakua wameiingiza kwenye system kabla ya kukurudishia cheti chenye mhuri
Na kwa kuongezea. Verification code ili iwe kuwa active kutumika itakulazimu kusubiri kwa siku 5-10 kwa siku za kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu toka Jumamosi ya kesho nafikisha week mbili toka nimelipia malipo kwa ajili ya kuhakiki cheti Rita lakini kimya hakuna jibu lolote shida yaweza kuwa nini?
 
wakuu toka Jumamosi ya kesho nafikisha week mbili toka nimelipia malipo kwa ajili ya kuhakiki cheti Rita lakini kimya hakuna jibu lolote shida yaweza kuwa nini?
Kam umeandika entry number sahihi subri tu mkuu mpka hata Zaid ya siku 10-15 za kazi watakupa majibu ila kama umekosea entry number hapo ni kipengere inabidi utume maombi upya
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana

SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
Nataka kuanzisha chuo Cha afya kwa ngazi ya cheti na diploma,zipi taratibu zake kwa mujibu wa nacte
 
Hv HESLB waga mnatoa mkopo kwa kuzingatia nini hasa mwingine anapata asilimia kubwa mwingine mdogo wakat baadh ya wanafunzi walimalza six form zao za kuombea mkopo zina fanana ktk hali ya kiuchumi na shule walizopitia (za kata)
 
Msaada dogo amepangiwa na nacte chuo Cha afya dip anataka abadilishe deadline ni kesho akijaribu kuaply upya inasema ameshasajiliwa
 
Mwenye kujua njia mbadala wa kuapload nakala ya kitambulisho cha Nida katika demographic details bodi ya mikopo.
Maana kila nikiweka inagoma na file pdf format ndio ninayoweka.
 
Naomba kuuliza....
?..Je ni muda gani chuo husika au college kinatuma matokeo kwenda nacte kwajili ya confirmation au confirmed by nacte
?..Na Je Nacte wanatumia muda gani kufanya confirmation ya matokeo au ku confirm matokeo yaliyo tumwa na chuo..
Nimemaliza Diploma
 
Back
Top Bottom