Niulize chochote kuhusu DUCE

Wakuu salam.

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshatoa first batch kwa undergraduate so nina amini kuna watu wamechaguliwa Dar es Salaam University College of Education (DUCE), mimi ni mwanachuo wa hapa hivyo naweza kukupa some hints kuhusu chuo hiki katika nyanja zote za kitaaluma na kijamii.

KARIBUNI SANA KWA MASWALI NA UFAFANUZI KUHUSU DUCE

sory kama hili swali lmeshaulizwa tena.....eti kwa first year hostel wanapata wote?? au kuna wengine huwa wanakosa?
 
Wakuu salam.

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshatoa first batch kwa undergraduate so nina amini kuna watu wamechaguliwa Dar es Salaam University College of Education (DUCE), mimi ni mwanachuo wa hapa hivyo naweza kukupa some hints kuhusu chuo hiki katika nyanja zote za kitaaluma na kijamii.

KARIBUNI SANA KWA MASWALI NA UFAFANUZI KUHUSU DUCE

tarehe ya kureport kwa bachelor of science with education kaka msaada,ikiwezekana nitumie kwenye namba hii 0675893587,0762015905
 
Daah. Bonge la chuo. I'm proud to be Duce. Happy 10th anniversary
 
Last edited by a moderator:
Natafuta wakukaa nae keko juu karibu na chuo chumba kipo na kina kila kitu ye atakua n kulala na kula na kusoma tu garama za chumba na umeme tutachangiana
 
Kuna tatizo vyuoni walimu kuwa na uhusiano wa kimapenzi, hasa wadada wazuri na hata kuvunja ndoa. Vipi hapo naweza mleta mchumba wangu akatoka salama?

Watu wa Bukoba mna wivu sana.
We mlete tu lkn mfunge gavana kabisa.
 
Back
Top Bottom