Niulize chochote kuhusu DUCE

Sorry vipi kuhusu possibility ya kupata GPA ya 3.9 and above kwa chuo cha duce ni ngumu kupata au inategemeana na jitihada binafsi
Answer please........
Inawezekana ni juhudi binafsi, kwa watu wa arts wengi wanajitahidi hadi zinafika GPA za 4. lakin kwa science nguvu inahitajka kiasi
 
Anatoka salama kama atakumbuka kama ana mchumba. Wala katika hilo mwalimu anaweza asimuaharibu huyo mchumba wako bali wanachuo wenzake.
Case za walimu kuwa na uhusiano na wanachuo kwa DUCE ni chache sana na hata zilizopo ni personal issues ambazo zinaweza zisiwe na impact in academics.

KARIBU
Kwa vyuo vya kibongo, hapo umeteleza.DUCE ni miongoni mwa maeneo ambayo lecturers wake(baadhi yao) wanaendekeza sana mambo ya kuvizia wanachuo.
Kubwa ni mwanamke mwenyewe kujitambua na kuwa muadilifu ili kuilinda heshima yake na mpenzi/mume wake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom