Niulize chochote kuhusu DUCE

Niulize chochote kuhusu DUCE

Kumbe bei za vyakula ni nafuu sana, nitasomea masters yangu hapo. Mi tayar nipo mzgon huku vijijin. Msome mkijiua mshaara wa mwalimu haukidhi mahitaji na mazngra ya kazi ni magumu unafika mahali unaona kama ulipoteza muda wako kusomea ualimu. Nawatakia masomo mema.
 
kwann sasa hv mwl level ya degree mnapokea sh.ngap?
 
ufafanuz mkuu kwa hapo kdogo..kwa hyo ukitaka kuweka bili inakuwa ni chakula kimoja kama wali&maharage au wali&nyama mwezi mzma maana bei ya vyakula ulvyotaja inatofautiana sasa hapo bili utaiwekaje? na siku usipochukua chakula pesa yako ndo inakuwa imekwenda au unaweza kuifidia siku nyingine

Utaratibu wa bill una mpa pesa yako then utakua unakula chakula unachokitaka wewe halaf unakuwa unaandika kwenye daftari so kama siku haukula bill hisomi kwa hiyo wala haina madhara
 
Kumbe bei za vyakula ni nafuu sana, nitasomea masters yangu hapo. Mi tayar nipo mzgon huku vijijin. Msome mkijiua mshaara wa mwalimu haukidhi mahitaji na mazngra ya kazi ni magumu unafika mahali unaona kama ulipoteza muda wako kusomea ualimu. Nawatakia masomo mema.

kwan mshahara Wa mwalim level ya degree ni sh.ngap?
 
kwani baada ya tume dr kawaje! usjifanye unajua yote dr yuko safi tunamjua wanaHI[/]

Mkuu acha ubishi mimi mwenyewe nasoma History usifikiri unaisoma peke yako. Report ya tume ime be presented kwenye last academic committee ilikua chini ya dr mbuna, ndo maana nasema kama hujui ni bora uwe kimya, utekelezaji wa mapendekezo ya tume inaanza this academic year

We muongo! ata ivyo dr anasimamia fact zaid
kama umefeli utamsemea ubaya tu
 
Ni chuo changu but kipo kushoto xana, unaweza kuja ukaondoka bila hata kujua posta...ushamba mwingi, uongozi wa kupupet kushobokea admn, dean of student ndio majanga anajifanya kuwa na power zaidi ya Mukandara...mliochagua njooni but lazima mjue hayo.
 
Utaratibu wa bill una mpa pesa yako then utakua unakula chakula unachokitaka wewe halaf unakuwa unaandika kwenye daftari so kama siku haukula bill hisomi kwa hiyo wala haina madhara

Shukran ndugu kwa majibu mazuri Nimetambua umuhmu wako humu jf
 
Ni chuo changu but kipo kushoto xana, unaweza kuja ukaondoka bila hata kujua posta...ushamba mwingi, uongozi wa kupupet kushobokea admn, dean of student ndio majanga anajifanya kuwa na power zaidi ya Mukandara...mliochagua njooni but lazima mjue hayo.

kwanin mkuu watu bize sana nin
 
Bei ya chakula kwa cafe za ndani ni sh 800 wali maharafe, sh 1200 wali/ugali samaki/nyama, 1500 wali/ugali kuku.
kwa cafe za nje ni sh 1000 kwa wali/ugali nyama/dagaa.

CHAI
kwa cafe za ndani chapati, andazi ni @ sh 200, chai ni sh 100, supu ni 1000 kwa 1500.
kwa cafe za nje ni sh 300/250 kwa chapat, andazi na chai ni sh 200.

KARIBU
panajitahidi kwa gharama ,hapo bado hujagombana na konda km umepangiwa offcampus hostels ,ni shidah!
 
Back
Top Bottom