Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
🤣Wale pure huwa hawaolewi ata na machotara sembuse we mswahili
🤣Wale pure huwa hawaolewi ata na machotara sembuse we mswahili
Eee huwa wanawaona hawa machotara maniga tu[emoji1787]
Shillole ana uarabu gani ?Nenda Nzega Jimbo la Bashe sio mke tu hata house girl wa kiarabu unapata sema Wana grades, kuna wale pure halafu kuna waarabu toleo la mwisho Kama Shilole
🤣🤣Anza kuvaa kipedo,sendo,fuga ndevu ziweke rangi nyekundu
Tembea na tasbihi kanzu na baraghashia
Fungua duka kariakoo pia uwe na usafiir especially Noah .
Yalaiti!!! Mbona waja
Kama uko serious Ni dm nikuunganishie wa barabara ya 11 TAnga hao wa kariakoo wasumbufu
Inaonekana we unajua unachokiongea ,mwaga info zaidi kwa faida ya wote[emoji16]waarabu toleo la mwisho
Ujinga unatoka wapi?,kupiga punyeto au mawazo kwa manzi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila chaputa nyie acheni tu ... Hata kama kuna manzi una muwaza sana ukipiga hiyo kitu mawazo yote uliyonayo dhidi yake yana toweka then unaanza kijiona mjinga
Kupiga nyetoUjinga unatoka wapi?,kupiga punyeto au mawazo kwa manzi
😁😁😁Acha uchocheziInaonekana we unajua unachokiongea ,mwaga info zaidi kwa faida ya wote
Haha wazungu wakishatoka tu unajiona una masikio marefu na miguu minne kana kwamba umekuwa punda.Ila mwamba unaonekana mbobevuKupiga nyeto
[emoji16][emoji16][emoji16]wee acha tuHaha wazungu wakishatoka tu unajiona una masikio marefu na miguu minne kana kwamba umekuwa punda.Ila mwamba unaonekana mbobevu
Laca chica imejifia kitambo sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo kwa Tanga ee?!!
Kwengine si lazima hayo ya ndevu,suruali fupi na tasbihi...bali through my personal exprncz ni;
1.Ublazamen wenye "maadili"...here I mean no alcohol usage,no k'moto usage.
2.Gari zuri na mtonyo wa kutumia
3.Utulivu na utanashati
4.Mdomoni manenomaneno ya "dini" kama akina "Antonio Nuggaz na Maalim Zingizi walivyo".
5.Swala an added advantage(fashion&ibada)
6.Outgoer jioni(nazungumzia maeneo ya urojo na nyama choma(si bar)
Kiufupi ukitaka wa "dini Sana" wasiotoka hata nje...basi namuunga mkono MAZIGAZI....
Ila kwa "wanaokwenda na Wakati na dini kuwepo" follow what I have advised here.....
MAZIGAZI hivi Club Pweza bado ipo hapo?
La Casa Chica?
VIJANA TUTAFUTE PESA....MENGINE NI RAHISI MNO KAMA KUMEZA MATE
Kwa hiyo wana wanajirushia wapi tena?Laca chica imejifia kitambo sana [emoji1787]
Club pweza iko ICU
Shilole ni chotara wa kiarabu?Nenda Nzega Jimbo la Bashe sio mke tu hata house girl wa kiarabu unapata sema Wana grades, kuna wale pure halafu kuna waarabu toleo la mwisho Kama Shilole
Amiliki malori watoto wa kiarabu wanapenda sana mambo hayoMimi sijasoma yote hayo,
ila dogo,tafuta hela,utaoa kila kiumbe duniani,
endelea kutafuta hela...
Kumbe Shishi naye ni mwarabu wa Igunga😁😁😁😁Nenda Nzega Jimbo la Bashe sio mke tu hata house girl wa kiarabu unapata sema Wana grades, kuna wale pure halafu kuna waarabu toleo la mwisho Kama Shilole
🤣Kumbe Shishi naye ni mwarabu wa Igunga😁😁😁😁