[emoji16]Nenda Tinde shinyanga ila jiandae kurogwa na ukoo mzima kuhamia kwako .
[emoji16]waarabu toleo la mwishoNenda Nzega Jimbo la Bashe sio mke tu hata house girl wa kiarabu unapata sema Wana grades, kuna wale pure halafu kuna waarabu toleo la mwisho Kama Shilole
[emoji16]kmmkWewe ni Mwarabu? Ama ni frustrations za mabeberu kutishia kuweka vikwazo na kukata mirija ya misaada?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila chaputa nyie acheni tu ... Hata kama kuna manzi una muwaza sana ukipiga hiyo kitu mawazo yote uliyonayo dhidi yake yana toweka then unaanza kijiona mjingaPiga punyeto tu utashangaa hilo wazo limefutika ghafla kichwani mwako nadhani ni ukame tu wa papuchi unakuletea Wenge.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jf bwanaWachache mno mkuu,na ukimuona huyo ujue wenye visu vikali ndo wanakula nyama hapo!..lakini huku uswahili misambwanda kama yote ni ww tu kuchagua,,waarabu wana complication nyingi sana mzee,kuna jamaa yangu alimpata mwarabu fulan kutoka singida akawa ananitambia kweli,nikasema ngoja nikamwone shemeji mwarabu dooh ile kufika yaan nilikuta demu juu mpana kweli kama anatembelea mikono,halafu chini mwembamba kama wale wabeba vyuma. halaf age imeenda yuko 40 halaf jamaa 28.nikajisema au jamaa alipenda unywele wa singa singa!
[emoji16]watakuwa makondoo
Haupo serious. Imagine wakwe zako waarabu, mashemeji waarabu, na ndugu za mkeo waarabu ila wewe ni mswahili..... Unaweza unganisha hizi koo mbili zenye tamaduni tofauti zikaishi pamoja bila mizinguo yoyote?!Habarini za pilikapilika wakubwa,
Jana usiku nikiwa nimetulia zangu chumbani nilijikuta naingiwa na wazo la kutafuta mwanamke wa kuoa.
Wazo hili lilinijia ghafura sana mara baada ya kuona sasa umri umekwenda kwa hivyo mimi kama kijana sasa ni vyema nikajipatia mke sasa kisha nianzishe familia yangu.
Basi wakati naendelea kuwaza nikajikuta navuta picha ya wanawake wa kiarabu.
Kiukweli nilijikuta mawazo yanani peleka mbali kwamba nipo ndani nimetulia na mwanamke wa kiarabu.
Sasa ndugu zangu mara baada ya kuwaza hivyo nataka kujaribu bahati yangu ya kutafuta mwanamke wa kiarabu nifunge naye pingu za maisha nipeni siri nitumie mbinu gani ili nimwoe mwanamke wa kiarabu.
Nitawapata mazingira gani hapa. Kama kuna mtu ana konekisheni anaweza kunisaidia pia.
Nipo serious wakubwa nipeni konekisheni.
Maana najua hawa watu niwachache sana hapa Tanzania.
Nimeshakua sasa nahitaji mke wakubwa.
Eti kama anatembelea mikono... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachache mno mkuu,na ukimuona huyo ujue wenye visu vikali ndo wanakula nyama hapo!..lakini huku uswahili misambwanda kama yote ni ww tu kuchagua,,waarabu wana complication nyingi sana mzee,kuna jamaa yangu alimpata mwarabu fulan kutoka singida akawa ananitambia kweli,nikasema ngoja nikamwone shemeji mwarabu dooh ile kufika yaan nilikuta demu juu mpana kweli kama anatembelea mikono,halafu chini mwembamba kama wale wabeba vyuma. halaf age imeenda yuko 40 halaf jamaa 28.nikajisema au jamaa alipenda unywele wa singa singa!
🤣Yaani Jana usiku uingiwe na wazo halafu Leo utoe bandiko la kutafuta mke,tena wa kiarabu?!hilo halitakuwa wazo bali ulilala ukaota uko na mwarabu au umeingiwa na pepo.Nikushauri tu nenda kwa kiongozi wako wa kiroho akuombee,na kama si hivo basi utakuwa unasumbuliwa na utoto hivo tulia Kwanza ukue maana mke hatafutwi kwa kutumia njia Kama hizo unazo ziwaza.
😲😲😲😲Nasikia ni wachafu sana wanakiharufu flani hivi cha nnyaa...sina uhakikaa lakini[emoji1787]
🤣👍UNAPESA KWANZA AU MANENO MATUPU? WEWE NI MWARABU AU SEARGENT BLACK MAN? KAMA WEWE NI BLACK MAN HAUNA PESA KAA KANDO JOMBA
Eti kama anatembelea mikono... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina dada zangu watatu(step sisters) ni waarabu kama uko vizuri nicheki PM.Ila sikuhakikishii kwamba utawapata au la,hiyo ni juu yako
Kuna njia nyingi tu mkuu za kuwapata hawa Waarabu usihofu.Habarini za pilikapilika wakubwa,
Jana usiku nikiwa nimetulia zangu chumbani nilijikuta naingiwa na wazo la kutafuta mwanamke wa kuoa.
Wazo hili lilinijia ghafura sana mara baada ya kuona sasa umri umekwenda kwa hivyo mimi kama kijana sasa ni vyema nikajipatia mke sasa kisha nianzishe familia yangu.
Basi wakati naendelea kuwaza nikajikuta navuta picha ya wanawake wa kiarabu.
Kiukweli nilijikuta mawazo yanani peleka mbali kwamba nipo ndani nimetulia na mwanamke wa kiarabu.
Sasa ndugu zangu mara baada ya kuwaza hivyo nataka kujaribu bahati yangu ya kutafuta mwanamke wa kiarabu nifunge naye pingu za maisha nipeni siri nitumie mbinu gani ili nimwoe mwanamke wa kiarabu.
Nitawapata mazingira gani hapa. Kama kuna mtu ana konekisheni anaweza kunisaidia pia.
Nipo serious wakubwa nipeni konekisheni.
Maana najua hawa watu niwachache sana hapa Tanzania.
Nimeshakua sasa nahitaji mke wakubwa.
Wale pure huwa hawaolewi ata na machotara sembuse we mswahiliNenda Nzega Jimbo la Bashe sio mke tu hata house girl wa kiarabu unapata sema Wana grades, kuna wale pure halafu kuna waarabu toleo la mwisho Kama Shilole