Nitumie mbinu zipi ili nioe mwanamke wa kiarabu?

Nitumie mbinu zipi ili nioe mwanamke wa kiarabu?

Habarini za pilikapilika wakubwa,

Jana usiku nikiwa nimetulia zangu chumbani nilijikuta naingiwa na wazo la kutafuta mwanamke wa kuoa.

Wazo hili lilinijia ghafura sana mara baada ya kuona sasa umri umekwenda kwa hivyo mimi kama kijana sasa ni vyema nikajipatia mke sasa kisha nianzishe familia yangu.

Basi wakati naendelea kuwaza nikajikuta navuta picha ya wanawake wa kiarabu.

Kiukweli nilijikuta mawazo yanani peleka mbali kwamba nipo ndani nimetulia na mwanamke wa kiarabu.

Sasa ndugu zangu mara baada ya kuwaza hivyo nataka kujaribu bahati yangu ya kutafuta mwanamke wa kiarabu nifunge naye pingu za maisha nipeni siri nitumie mbinu gani ili nimwoe mwanamke wa kiarabu.

Nitawapata mazingira gani hapa. Kama kuna mtu ana konekisheni anaweza kunisaidia pia.

Nipo serious wakubwa nipeni konekisheni.
Maana najua hawa watu niwachache sana hapa Tanzania.
Nimeshakua sasa nahitaji mke wakubwa.
una pesa
 
Na walivyo flat vile,kwel kupenda upofu..yaan niache mishape na misambwanda ya kibongo niende kuoa flat screen?
 
Huwajui waarabu wewe, waarabu wana misambwanda kuliko wabongo ni vile tuu wanaifunika funika kwenye yale majuba. Siku ukipata zari la kumvua mwarabi baibui ndio utajua.
Wachache mno mkuu,na ukimuona huyo ujue wenye visu vikali ndo wanakula nyama hapo!..lakini huku uswahili misambwanda kama yote ni ww tu kuchagua,,waarabu wana complication nyingi sana mzee,kuna jamaa yangu alimpata mwarabu fulan kutoka singida akawa ananitambia kweli,nikasema ngoja nikamwone shemeji mwarabu dooh ile kufika yaan nilikuta demu juu mpana kweli kama anatembelea mikono,halafu chini mwembamba kama wale wabeba vyuma. halaf age imeenda yuko 40 halaf jamaa 28.nikajisema au jamaa alipenda unywele wa singa singa!
 
Huwajui waarabu wewe, waarabu wana misambwanda kuliko wabongo ni vile tuu wanaifunika funika kwenye yale majuba. Siku ukipata zari la kumvua mwarabi baibui ndio utajua.
😲😲🤣
 
Wachache mno mkuu,na ukimuona huyo ujue wenye visu vikali ndo wanakula nyama hapo!..lakini huku uswahili misambwanda kama yote ni ww tu kuchagua,,waarabu wana complication nyingi sana mzee,kuna jamaa yangu alimpata mwarabu fulan kutoka singida akawa ananitambia kweli,nikasema ngoja nikamwone shemeji mwarabu dooh ile kufika yaan nilikuta demu juu mpana kweli kama anatembelea mikono,halafu chini mwembamba kama wale wabeba vyuma. halaf age imeenda yuko 40 halaf jamaa 28.nikajisema au jamaa alipenda unywele wa singa singa!
🤣🤣
 
Yaani Jana usiku uingiwe na wazo halafu Leo utoe bandiko la kutafuta mke,tena wa kiarabu?!hilo halitakuwa wazo bali ulilala ukaota uko na mwarabu au umeingiwa na pepo.Nikushauri tu nenda kwa kiongozi wako wa kiroho akuombee,na kama si hivo basi utakuwa unasumbuliwa na utoto hivo tulia Kwanza ukue maana mke hatafutwi kwa kutumia njia Kama hizo unazo ziwaza.
 
Back
Top Bottom