Shukrani shaka mwaka huu lazima nifanye mambo hata kuweka mzingi na kuinua boma ,pesa ya kodi inaniuma mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kijijin ambako materials mazuri lazima ukayasake mbali kwa hatua hiyo umejitahidi sanaEmu angalia hapo 21 milioni nabado nasuasua alafu useme milioni tatu.
katavi, moro,kgm,
Niko najengaUmewahi kujenga?
Turudi kwenye mahesabuHuko Marekani watu wenye kipato ndogo au wasio na ajira, wanaishi kwenye 'mobile homes'. Hizi ni magari makubwa ambayo yamegeuzwa kuwa nyumba. Wamepangiwa sehemu maalum ya kuparki na wanaunganishwa na umeme, maji na huduma zingine. Kwa nini hapa kwetu tusianze huu mtindo ya kuishi kwenye magari??? Ukikorofishana na majirani, unapiga tu reverse na unaenda zako. Hamna haja ya kumrushia mchepuko hela ya nauli, unapeleka gheto kwake! Mimi naona maisha yatanoga sana ukiwa unaishi juu ya gurudumu!
katavi, moro,kgm,
Huko Marekani watu wenye kipato ndogo au wasio na ajira, wanaishi kwenye 'mobile homes'. Hizi ni magari makubwa ambayo yamegeuzwa kuwa nyumba. Wamepangiwa sehemu maalum ya kuparki na wanaunganishwa na umeme, maji na huduma zingine. Kwa nini hapa kwetu tusianze huu mtindo ya kuishi kwenye magari??? Ukikorofishana na majirani, unapiga tu reverse na unaenda zako. Hamna haja ya kumrushia mchepuko hela ya nauli, unapeleka gheto kwake! Mimi naona maisha yatanoga sana ukiwa unaishi juu ya gurudumu!
Kwamba huamini,ama?Picha tafadhari.
Naomba tuwe wakweli kwenye mambo ya Msingi.
Hiyo nyumba umeijenga mkoa gani?
yap sehemu kama bk, iringa, na mikoa ya jirani mbao si ghari maana zipo za kupanda.
Watu wa JF tunajifanya wa kisasa mno.3m inajenga chumba na sebule hadi choo na unahamia,ila finishing hutoweza na madirisha utapiga makaratasi .ila sehem ya kuweka ubavu inapatikana fresh tu3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
acha uongo na kuwatisha watu kwa hizo hesabu zako ni jumla million 10 na zaid kwa chumba kimoja ni nyingi sana kwa hizo hesabu zako unajenga vyumba viwili vinaisha kila kitu na idadi ya tofali kwa chumba ni 400 sio 600 labda ujenge chumba cha ukubwa wa futi 15 kwa 153m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
Umesahau 'a' hapo kwenye mviNoma!!!
Hiyo scene ya kupauwa usiombee,inaweza kukutoa mvi kama hukutulia,ujenzi ni gharama sana ila bora huyu analo hilo wazo la kujenga kuna mwengine hadi muda huu wala hajui kama kuna siku itamhitaji awe na nyumba yake yeye mwenyewe.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Umemaliza kila kitu3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
Mimi ni fundi.pmoses95 najenga Dar. Ina maana huamini kama nyumba ya vyumba vitatu inaweza kujengwa kwa 28m? Hebu soma hapo chini uelewe kwanza
'nyumba ya vyumba vitatu nimeezeka na kuweka grill imekula 13m...naamini 15m NYINGINE itahitajika kumalizia. Total itakuwa around 28m huamini kuna nyumba ya 28m?
Kwahio nyumba ya vyumba vitatu wewe unafikiri inaweza kugharimu kiasi gani? Chini kabisa. Halafu usiniambie habari ya wewe kuwa fundi hamna jipya. Au wewe kuwa fundi ndio unajua kila kitu? 28m ndogo wakati mna matangazo yenu humu mnasema mnajenhea watu kwa 25m?! Tangaza biashara yako mkuu.Mimi ni fundi.
Napata hofu juu ya uimara WA hiyo nyumba. Kama iko imara basi material ya wizi