Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Sawa KBS mkuu, kwan mpaka apo ntakuwa cjMilik nyumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan kaka tena ukitaka usinunue tofali tafuta mtu muajili akufyatulie tofali azichome

Weka msingi mzuri wa kawaida ,vyumba visiwe vikubwa viwe wastani tu hasa chumba chako ndio kiwe kikubwa kiasi na sebule,kila kitu ufanye wastani utaniua nyumba utaezeka

Au weka msingi kwanza nyanyua boma mpaka kwenye lenta kisha ezeka bati,vingine fanya taratibu kama pesa itaishaa
Unaweza weka mlango mzuri wa mbao na ule wa drili mmoja ule wa kutokea nje vyumba vingine milango utaweka pole pole,mi naamini unaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course banda ila kwangu ntaita nyumba
umeiona ile picha aloiweka? Unajuwa Mtu Akikuomba ushauri gharama za kuagiza Gari nje; huwezi kumtajia bei ya mauzo japan ukamwambia ndo tayari!
unatakiwa umtajie full cost, bei,usafiri na registration! ...unless aspecify!
Kuna tofauti kati ya nyumba na banda!
Kama anataka banda aseme!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
,
Uza gari ongezea hapo ujenge kama umechoka kupanga...acha kutuchosha akili,watu tupo kwenye maombolezo ya Congo.

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190119-WA0036.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Marekani watu wenye kipato ndogo au wasio na ajira, wanaishi kwenye 'mobile homes'. Hizi ni magari makubwa ambayo yamegeuzwa kuwa nyumba. Wamepangiwa sehemu maalum ya kuparki na wanaunganishwa na umeme, maji na huduma zingine. Kwa nini hapa kwetu tusianze huu mtindo ya kuishi kwenye magari??? Ukikorofishana na majirani, unapiga tu reverse na unaenda zako. Hamna haja ya kumrushia mchepuko hela ya nauli, unapeleka gheto kwake! Mimi naona maisha yatanoga sana ukiwa unaishi juu ya gurudumu!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Asantr sana mkuu nawaza kuwekeza kwa hardwares ila nawaza pia je pakitokea mwenye hardware kaleta ABC ntafanyaje
3m kwa room mbili,sebule na choo cha master jumlisha na public,hela inatosha..ila utaweka vyumba vidogo angalau 8kwa 10,na sebule 8 kwa tisa jiko 8kwa 8fut.
Ila haitamaliza angalao itakufikisha kwenye madirisha..then unapumzika kidogo unatafuta hela kidogo inapiga mpaka lenta unapumzika then unapiga mpaka kumalizia kupaua unapumzika unatafuta hela..then unakuja kupaua na mabati ya bei rahisi 32g,unapiga nyavu za mbu...floor chumba kimoja unahamia.In three years unakua umemaliza nyumba mkuu...three year si mingi mkuu....*JIFUNZE KUWEKEZAATERIALS KWENYE HARDWERE KUBWA*

Sent using Nokia ya Torch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uza gari ongezea hapo ujenge kama umechoka kupanga...acha kutuchosha akili,watu tupo kwenye maombolezo ya Congo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu kaka kuwa sirias kidogo bac, unajua Mchangani FC watakutafuta au kukushtaki?

5 - 0 ni kudhalilika sana kimataifa wala siyo kufungwa, afu bado tu nawe unazidi kuwakumbushia hayo maumivu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
Ukimfuatisha huyu hutakuja ujenge. Cha msingi nenda hatua kwa hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeiona ile picha aloiweka? Unajuwa Mtu Akikuomba ushauri gharama za kuagiza Gari nje; huwezi kumtajia bei ya mauzo japan ukamwambia ndo tayari!
unatakiwa umtajie full cost, bei,usafiri na registration! ...unless aspecify!
Kuna tofauti kati ya nyumba na banda!
Kama anataka banda aseme!!!
Uchambuzi wako ni mzuri sana dmkali mpaka nimescreenshot kwa matumizi ya baadae,ye anachotaka ni nyumba ya kawaida matofali ya kuchoma vyumba viwili zile nyumba zinakuwa hazina mapambo mengi nadhani hayo magpsum ataweka baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau hivi nyumba kama zile wanazojenga wachina au wazungu wanapokuwa site ya kujenga barabara au reli gharama yake ipoje.Mfano zile nyumba hapo Yapi Merkez Gerezani kwenye ofisi ya hawa wajenga reli.

Na hapa Tanzania kwa nini watu hawapendelei kujenga nyumba aina ile kulingana na mazingira ya joto kama Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakuombea mafinikio haraka sana, mkuu. Nyumba za kukodi ni balaa! Yaani kila mwezi utalipa kodi, lakini mwisho wa siku (baada ya miaka 10) huna kitu la kusema ni lako. Halafu ukichelewesha kodi, mwenye nyumba anakuletea matishio, kejeli, nk. Ukiwa na nyumba yako na mambo yakiwa mabaya, unapitisha siku na uji tu, na heshima yako inabaki pale pale.
Shukrani shaka mwaka huu lazima nifanye mambo hata kuweka mzingi na kuinua boma ,pesa ya kodi inaniuma mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kama ana kiwanja kwa hiyo pesa ajenge vyumba viwili na sebule chumbani kwake kuwe self lakin 8siwe na mbwembwee ,vingine atamalizia taratibu akizidisha maurembo hawezi kwa hiyo pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anataka madilisha ya vioo! Jumla vyumba vitatu self, bado haitatosha wewe mama wewe. Kama ni kule kwetu igoma sawa lakini itabidi apige Ziggy zaggy chini

Ushanfahamu vizuri (in mussa hussein voice)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom