Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
Duh! Asante kwa mwongozo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu NAMANYELE SUMBAWANGA utajenga na chenji itabaki karibu sana mkuu
 
Acha kutisha watu na estimation yako uchwara.
 
Hiyo Pesa fanyia biashara ni bora upate elf 10 kila siku faida, kwa mwez utakuwa na laki 3, utajenga nyumba kwa Amani.

Hiyo million 3 utaishia njian utajuta
 
3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
Kuna Haja gani ya Kumletea Mtoa Mada mambo ambayo yeye hajayahitaji? Ungesoma Maelezo kwenye Uzi wake ili uone specification alizozitoa kuliko kumuwekea Vitu ambavyo yeye hajasema;

Rudi kwenye maelezo ya Mtoa mada na Specification zake kisha utoe Hesabu kulingana na Mahitaji yake
 
Kuna tofauti kati ya kujenga Banda na kujenga Nyumba!! A house Must contains all requirements!
Mkuu Hizi tofauti ni Binadamu Ndio tunazileta, house Must contains all requirements ni zipi?? mwingine anajenga anatofautisha Dinning na Sitting, mwingine anachanganya tu kwa kuifanya sitting iwe kubwa
Mwingine Anaweka Tiles mwingine anaweka Mbao, Utapimaje Requirements?
Mnapoleta mawazo yetu usitake ndio yawe ya wote.
 
Huko Marekani watu wenye kipato ndogo au wasio na ajira, wanaishi kwenye 'mobile homes'. Hizi ni magari makubwa ambayo yamegeuzwa kuwa nyumba. Wamepangiwa sehemu maalum ya kuparki na wanaunganishwa na umeme, maji na huduma zingine. Kwa nini hapa kwetu tusianze huu mtindo ya kuishi kwenye magari??? Ukikorofishana na majirani, unapiga tu reverse na unaenda zako. Hamna haja ya kumrushia mchepuko hela ya nauli, unapeleka gheto kwake! Mimi naona maisha yatanoga sana ukiwa unaishi juu ya gurudumu!
Hiyo gari unapewa bure
 
kwa mkoani inawezekana japo haitaisha kiviiile

tofali za kuchoma 1500@ 100- 150,000
fundi msingi-boma -400,000
bati bando 2 475,000 (za kawaida )
waweza jengea udongo ukaja chapia simenti ila renta lazima kwa wastani mifuko 20-25 (sijui mkoa uliopo simenti bei gani)
mbao za kenchi -400,000-500,000
umeme 300,000
mfumo wa maji 300,000
choo 200,000
milango mi 3 ...300,000-500,000
dirisha 4 @70,000 za mbao, aluminiamu ziko juu

gypsum, tires na fundi -500,000
Umewahi kujenga?
 
3m kwa room mbili,sebule na choo cha master jumlisha na public,hela inatosha..ila utaweka vyumba vidogo angalau 8kwa 10,na sebule 8 kwa tisa jiko 8kwa 8fut.
Ila haitamaliza angalao itakufikisha kwenye madirisha..then unapumzika kidogo unatafuta hela kidogo inapiga mpaka lenta unapumzika then unapiga mpaka kumalizia kupaua unapumzika unatafuta hela..then unakuja kupaua na mabati ya bei rahisi 32g,unapiga nyavu za mbu...floor chumba kimoja unahamia.In three years unakua umemaliza nyumba mkuu...three year si mingi mkuu....*JIFUNZE KUWEKEZAATERIALS KWENYE HARDWERE KUBWA*

Sent using Nokia ya Torch
Acha kumdanganya mwenzako mkuu
 
3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
Budget hii ni nyumba ya luxury mzee alafu pia inategemea na mkoa au sehemu gani unajenga nyumba yako.

Ila na wewe umezidisha madoido eti tailizi, gypsum ndo nn mwenzio kakuambia ana hela ya kuongea anataka kujenga! kha watu wengine hamna ubinadamu
 
3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
Extraordinarily exaggerated!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo pesa sidhani kama hata MSINGI tu inaweza kumaliza; jipange mzee baba. Kujenga ni uamuzi tu, panga mipango yako vizuri then weka NIA, it is possible but kwa hiyo 3M hata ukizisha mara 3 still haitatosha kaka.
 
Nina moja hapa inanisubiri. Vyumba vitatu(kimoja master)sebule,jiko. Nimeezeka na kuweka grills. Imekula 13m. Nafikiri finishing yote haitazidi 15m nyingine.
Picha tafadhari.
Naomba tuwe wakweli kwenye mambo ya Msingi.
Hiyo nyumba umeijenga mkoa gani?
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie,

Nimechoka kukaa NHC, huku nikiwa na kigari angali nyumba sina.

Kwa kipindi sasa nimekuwa nikitafuta ramani ya nyumba nafuu kuliko maelezo,, yani ni hivi:-

I we ya vyumba viwili na sebule na bafu LA ndani.
Matofali ya kuchoma (ya udongo)

Ikiwezekana nijenge kwa mpauo wa "flat roofing"
Au
Hidden roofing (naskia ni budgetary balaa ila kuna tahadhari cjazjua)

Niweke madirisha ya vioo ya bei ndogo yaani makubwa ila yasiyo ya kuslaid au alminium, (hapana)

Nitumie mbao chache na bati zisizozidi 35-40

Nataka iwe na muonekank wa vitofali vyekundu na mistar myeupe (HAPA TAFADHALI SANA WATAALAMU NISAIDIENI MAANA HATA CJUI HUWA WANAVICHORAJE, MAANA CNA UWEZO WAKUPATA ZILE BLOCKS NDOGO NDOGO ZA KUVAANA)

Nataka nyumba ya bei cheap kweli, yani kwa haraka haraka nitumie kama 3m

Nikiwaza bangaloo sitajenga Leo wala kesho.
Nipo mikoani (unnamed)

AsanteniView attachment 999854

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaweza kujenga nyumba kwa Mil 3 ila hautoweza kumaliza hiyo nyumba.
 
Unajenga vumba viwili na sebule ila floor huweki, na choo itabodi utumie kwa jirani ,milango na madirisha yatakuwa wazi utatumia mashuka kufunika inabidi ukubali mateso kwa mda
 
Back
Top Bottom