Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Kwahio nyumba ya vyumba vitatu wewe unafikiri inaweza kugharimu kiasi gani? Chini kabisa. Halafu usiniambie habari ya wewe kuwa fundi hamna jipya. Au wewe kuwa fundi ndio unajua kila kitu? 28m ndogo wakati mna matangazo yenu humu mnasema mnajenhea watu kwa 25m?! Tangaza biashara yako mkuu.
Kama wewe umezoea kuibia wateja wako materials sio kila mtu.

Mkuu Kuna tofali ya Tshs 600 - 900 -1100 n 1300, pia Kuna bati inauzwa 8000 Futi 10 na nyingine 28000 futi kumi hiyohiyo.
Akili mkichwa boss
 
With all due respect, milioni 3 unaweza kujenga 'sehemu ya kujihifadhi' mkuu, sio nyumba

the Legend☆
 
Indeed your a goodfool

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE

Mimi namuona mjanja sana huyu dada...kwanza anakujengea picha ya kuwa hata kwa kitu kidogo waweza fanya kitu cha maana.

Ni tafakuri nzuri sana hii kwa vijana tulio wengi. Ukianza kufikiria 70 million za kujenga hutojenga. Kuna jamaa mmoja alikuwa na 25m na malengo yake ilikuwa kujenga...sasa kila akifikiri 70million anaona giza...hivyo aliishia kula zile pesa.
 
Mkuu Kuna tofali ya Tshs 600 - 900 -1100 n 1300, pia Kuna bati inauzwa 8000 Futi 10 na nyingine 28000 futi kumi hiyohiyo.
Akili mkichwa boss
Hizo ndio unazojengea wateja wako? Unafikiri fundi uko peke yako? Acha ujuaji tangaza biashara yako utapata wateja kuponda usiowajua hakutakuongezea wateja. Hii sio nyumba ya kwanza wala ya mwisho najenga.
 
Turudi kwenye mahesabu

Hiyo gari ni shilingi ngapi??

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza, nimekosea kusema kwamba 'Mobile Homes' ni magari makubwa yaliyogeuzwa nyuma kuwa nyumba! Hizi zinatengenezwa maalum kwa makusudi ya kuishi mle, na zina kila aina ya facilities kama jiko, bafu, sehemu ya kulala na kukaa! Sasa bei inalingana na ukubwa na ubora za facilities. Ukubwa inaweza kuwa kama 'vipanya' na kuendelea kufika Eicher na zaidi. Kuna zile zilizochakaa sana unaweza kupata kwa $ 2,000 lakini wastani ni kuanzia $10,000 na kuendelea, zote zikiwa zimetumika!

Halafu si lazima iwe na facilities kama bafu, choo na jiko mle ndani! Zamani watu waligeuza VW Combi kuwa makazi yao. Hapa kwetu, tunaweza kuzigeuza zile vipanya au Coaster zikawa makazi ya muda, huku ukijenga choo na bafu kando. Kuna wadau wameshauri container au 'porta cabins' - zinatumika sana na wachina kwenye sites. Hapa muhimu ni kiwanja, ili upate mahali pa kuegesha 'makazi gurudumu' au container au porta cabin. Siku hela zikipatikana unatumia ile kiwanja kujenga makazi ya kudumu.
 
Hizo ndio unazojengea wateja wako? Unafikiri fundi uko peke yako? Acha ujuaji tangaza biashara yako utapata wateja kuponda usiowajua hakutakuongezea wateja. Hii sio nyumba ya kwanza wala ya mwisho najenga.
Pole kama nimekukwaza
Sikuwa na lengo baya boss
 
Wakuu, mada huu ya kujenga nyumba kwa millioni 3 ni nzuri sana. Makazi ni mahitaji muhimu sana kwa binadamu na tuko wengi sana wenye ndoto ya kumiliki nyumba zetu. Kwa hiyo naomba tuijadili hii kwa undani na ukweli, ili watu wapate uhalisia na ushauri mzuri.

Pamoja na elimu yangu ndogo kwenye fani ya ujenzi, naona kuna upotoshaji wa aina fulani. Watu wanasema nyumba ya millioni 3 haiwezekani huku wakitumia michoro ya nyumba ya kifahari na materials ya kisasa, na bei za mjini.

Bei ya ujenzi inaweza kushuka, ukizingatia ya fuatayo: Design - Nyumba iwe simplistic na basic. Tunaweza kuokoa hela kwa kucombine modern na traditional designs. Binafsi nimeipenda ile ramani ya nymba kwenye post#.29, Sijui kama tunaweza kucombine ramani hii na concepts kutoka manyatta ya wamaasai (haswa kwenye roofing). Pia, kwa mfano, nyumba za pwani za zamani, badala ya kuwa na sitting room/lounge walijenga baraza nje na ikawa sehemu ya kupumzika na kupokea wageni.

Materials - tunaweza kuokoa hela kwa kutumia materials ya kijadi. Kama hela hazitoshi kununua bati, tengeneza roofing structure ya bati, lakini temporarily use makuti, na baadaye unabadilisha na mabati. Kuna mfilipino, Earl Patrick Forlales, 23, katunukiwa tuzo ya ujenzi kwa kutumia bamboo kujenga nyumba ya bei nafuu. His design takes just four hours to construct, and at £50 per sq metre it's also affordable (Source: BBC) Kuna umuhimu sana kuangalia kwa makini all material that goes into construction. Kuna vitu vingi unaweza kutumia alternatives ya bei nafuu, bora iwe na durability.

Building a house is a long-term project. Muhimu ni kuanza pole pole: kwanza Kiwanja (kila kukicha bei zinapanda!!!!), Msngi - bora na madhubuti (no compromises here) Ukuta - cement au clay bricks, timber, bamboo, na Roof - flat or slanted, makuti au mabati. Hapa nyumba inafaa kusihi na yote yaliyobaki unazishughulikia pole pole, jinsi hela zinavyopatikana. Samahani, kwa kuwachosha, lakini binafsi naona mada ni muhimu sana!
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie,

Nimechoka kukaa NHC, huku nikiwa na kigari angali nyumba sina.

Kwa kipindi sasa nimekuwa nikitafuta ramani ya nyumba nafuu kuliko maelezo,, yani ni hivi:-

I we ya vyumba viwili na sebule na bafu LA ndani.
Matofali ya kuchoma (ya udongo)

Ikiwezekana nijenge kwa mpauo wa "flat roofing"
Au
Hidden roofing (naskia ni budgetary balaa ila kuna tahadhari cjazjua)

Niweke madirisha ya vioo ya bei ndogo yaani makubwa ila yasiyo ya kuslaid au alminium, (hapana)

Nitumie mbao chache na bati zisizozidi 35-40

Nataka iwe na muonekank wa vitofali vyekundu na mistar myeupe (HAPA TAFADHALI SANA WATAALAMU NISAIDIENI MAANA HATA CJUI HUWA WANAVICHORAJE, MAANA CNA UWEZO WAKUPATA ZILE BLOCKS NDOGO NDOGO ZA KUVAANA)

Nataka nyumba ya bei cheap kweli, yani kwa haraka haraka nitumie kama 3m

Nikiwaza bangaloo sitajenga Leo wala kesho.
Nipo mikoani (unnamed)

AsanteniView attachment 999854

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kujenga Mbezi beach na zingine zikabaki mkuu
 
Acha utoto
 
Ujenzi wa nyumba ni garama kama tutafuata kanuni zote za ujenzi;ndio maana wengi tunajenga sehemu za kujificha tu kwa sababu hatutaki garama (kupima udongo,kupima material,kutumia ratio inayotakiwa n.k).kwa bajeti yako hiyo unaweza kujenga sehemu ya kujificha,kwa kukiuka kanuni zote za ujenzi.
 
Gharama za ujenzi zinategemea pia na eneo ulipo, ramani na ukubwa nyumba, mfano mimi nimetumia kama 10m kuweka tu paa
 
mil tatu haitoshi choo cha shimo moja wachilia mbali nyumba. Iyo pesa lete tuinywe bia tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashangaa kwanini comment yako INA like moja!!! Mkuu wewe ni moja ya watu wachache sana wanaoweza kufukua shoka lenye kutu na kulinoa.

Sina mengi. Nimekuelewa sana.
Wakuu, mada huu ya kujenga nyumba kwa millioni 3 ni nzuri sana. Makazi ni mahitaji muhimu sana kwa binadamu na tuko wengi sana wenye ndoto ya kumiliki nyumba zetu. Kwa hiyo naomba tuijadili hii kwa undani na ukweli, ili watu wapate uhalisia na ushauri mzuri.

Pamoja na elimu yangu ndogo kwenye fani ya ujenzi, naona kuna upotoshaji wa aina fulani. Watu wanasema nyumba ya millioni 3 haiwezekani huku wakitumia michoro ya nyumba ya kifahari na materials ya kisasa, na bei za mjini.

Bei ya ujenzi inaweza kushuka, ukizingatia ya fuatayo: Design - Nyumba iwe simplistic na basic. Tunaweza kuokoa hela kwa kucombine modern na traditional designs. Binafsi nimeipenda ile ramani ya nymba kwenye post#.29, Sijui kama tunaweza kucombine ramani hii na concepts kutoka manyatta ya wamaasai (haswa kwenye roofing). Pia, kwa mfano, nyumba za pwani za zamani, badala ya kuwa na sitting room/lounge walijenga baraza nje na ikawa sehemu ya kupumzika na kupokea wageni.

Materials - tunaweza kuokoa hela kwa kutumia materials ya kijadi. Kama hela hazitoshi kununua bati, tengeneza roofing structure ya bati, lakini temporarily use makuti, na baadaye unabadilisha na mabati. Kuna mfilipino, Earl Patrick Forlales, 23, katunukiwa tuzo ya ujenzi kwa kutumia bamboo kujenga nyumba ya bei nafuu. His design takes just four hours to construct, and at £50 per sq metre it's also affordable (Source: BBC) Kuna umuhimu sana kuangalia kwa makini all material that goes into construction. Kuna vitu vingi unaweza kutumia alternatives ya bei nafuu, bora iwe na durability.

Building a house is a long-term project. Muhimu ni kuanza pole pole: kwanza Kiwanja (kila kukicha bei zinapanda!!!!), Msngi - bora na madhubuti (no compromises here) Ukuta - cement au clay bricks, timber, bamboo, na Roof - flat or slanted, makuti au mabati. Hapa nyumba inafaa kusihi na yote yaliyobaki unazishughulikia pole pole, jinsi hela zinavyopatikana. Samahani, kwa kuwachosha, lakini binafsi naona mada ni muhimu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu nilichogundua kwenye hii mada wengi wanaongea bila research na reference zenu mnatumia za mafundii wakisema nyumba gali na nyie mnaitikia ila mm kwa professional yangu naweza jenga nyumba kwa 2 milion only achilia mbali io 3 m

Mapovu yanaruhusiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom