Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Zamani nilipokuwa naona mtu kajenga nyumba vyumba viwili nikawa nadhalau kweli. Sasa nimeamua kumjengea mama nyumba kijijini vyumba vitatu self seating room na dyining aisee naelekea kwenye milioni ishirini na moja bado vigae na kuweka aruminium. Asikwambie mtu ukiona mtu amejenga ata chumba kimoja mpe shikamoo. Naludia tena ninaelekea kufika milioni ishirini na moja na bado nyumba haijaisha japo nikijijini.
 
Unajenga vizr tu uwe na uwanja wako tofali fyatua mwenyewe FUNDI uwe mwenyewe na ndugu wa kukusaidia siment ya plasta na malumalu nunua kwa mafundi wa site wezi mfuko mmoja wanakuuzi 4000 na vinginevyo vingi

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie,

Nimechoka kukaa NHC, huku nikiwa na kigari angali nyumba sina.

Kwa kipindi sasa nimekuwa nikitafuta ramani ya nyumba nafuu kuliko maelezo,, yani ni hivi:-

I we ya vyumba viwili na sebule na bafu LA ndani.
Matofali ya kuchoma (ya udongo)

Ikiwezekana nijenge kwa mpauo wa "flat roofing"
Au
Hidden roofing (naskia ni budgetary balaa ila kuna tahadhari cjazjua)

Niweke madirisha ya vioo ya bei ndogo yaani makubwa ila yasiyo ya kuslaid au alminium, (hapana)

Nitumie mbao chache na bati zisizozidi 35-40

Nataka iwe na muonekank wa vitofali vyekundu na mistar myeupe (HAPA TAFADHALI SANA WATAALAMU NISAIDIENI MAANA HATA CJUI HUWA WANAVICHORAJE, MAANA CNA UWEZO WAKUPATA ZILE BLOCKS NDOGO NDOGO ZA KUVAANA)

Nataka nyumba ya bei cheap kweli, yani kwa haraka haraka nitumie kama 3m

Nikiwaza bangaloo sitajenga Leo wala kesho.
Nipo mikoani (unnamed)

AsanteniView attachment 999854

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lako limekuja wakati mzuri, ndiyo unaweza, chukua mitaa ya kupimia nenda Tazara stesheni utakuta mabehewa ya treni ya kifahari ROVOS toka Afrika Kusini yanayoongoza duniani kwani kila chumba kina kitanda, bafu/choo na sehemu ya mapumziko, au tafuta mtu mwenye family caravan yaani mkokoteni gari unakuwa na kitanda/kitanda, jioko na choo/bafu ukubwa wa Coaster.
Kazi kwako.
 
Akuna kitu nachukia kama vyumba vinavyo bana yani ukiweka kitanda tano kwa sita ata kufungu mlango wa chumbani inakuwa shidah. Mimi subele ni 18 kwa 14 chumba kidogo kabisa ni 12 kwa 10.
 
Kwa kweli mimi nikiwa na milioni kumi najenga nyumba ya vyumba vitatu self container,jiko,inaisha vizuri finishing yotee hadi na kuvuta maji au kuweka umeme,lakin ukitaka kasiri milioni kumi haitoshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyumba vitatu bila sebule na dyining au? Naje unaezeka kwa bati za senene au zile za south? Finishing hipi unafanya je unaweka gypsum au sealing board za kawaida au uweki kabisa? Yote kwa yote kama unajenga nyumba ya vyumba vitatu milioni kumi bado haitoshi. Muimu kujenga taratibu atua kwa atua ata ikikuchukua miaka saba amna shidah ila siku ikikamilika ukatafta jumla ya ghalama ulizotumia utokuja kuamini macho yako.
 
Inawezekana kabisa.
Fanya yafuatayo.
Tofali fyatua mwenyewe zianzie tofali elfu 3 kisha tafuta fundi azichome kwa pumba zitatoka tofali 2500- 2700.

Tafuta fundi kibarua uwe wewe mwenyewe kuanzia kujenga mpaka finishing.


Hapo utakuwa umesave kama milioni hivi ya gharama.

Sasa gharama za mbao, mabati misumari, nk kadhalika utaona inakuwaje.


Wakuu,

Naomba mnisaidie,

Nimechoka kukaa NHC, huku nikiwa na kigari angali nyumba sina.

Kwa kipindi sasa nimekuwa nikitafuta ramani ya nyumba nafuu kuliko maelezo,, yani ni hivi:-

I we ya vyumba viwili na sebule na bafu LA ndani.
Matofali ya kuchoma (ya udongo)

Ikiwezekana nijenge kwa mpauo wa "flat roofing"
Au
Hidden roofing (naskia ni budgetary balaa ila kuna tahadhari cjazjua)

Niweke madirisha ya vioo ya bei ndogo yaani makubwa ila yasiyo ya kuslaid au alminium, (hapana)

Nitumie mbao chache na bati zisizozidi 35-40

Nataka iwe na muonekank wa vitofali vyekundu na mistar myeupe (HAPA TAFADHALI SANA WATAALAMU NISAIDIENI MAANA HATA CJUI HUWA WANAVICHORAJE, MAANA CNA UWEZO WAKUPATA ZILE BLOCKS NDOGO NDOGO ZA KUVAANA)

Nataka nyumba ya bei cheap kweli, yani kwa haraka haraka nitumie kama 3m

Nikiwaza bangaloo sitajenga Leo wala kesho.
Nipo mikoani (unnamed)

AsanteniView attachment 999854

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bajeti za kwenye makaratasi hizi. Na zinalenga kutisha watu.
Ukitaka kuanza kujenga usitafute mafundi wa kwenye makaratasi chukua fundi mpeleke site tu mwambie kila Kitu then utakuwa unajiadjust kadri ya mahitaji
Kama bajeti ndo hizi basi watu wangekuwa hawajengi. Bajeti ya chumba kimoja kama ya nyumba nzima

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisomaga hizi nyuzi huwa nacheka sana maana mwaka mmoja uliopita nilikuwa nachanganyikiwa kama nyie kujua nitapata wapi hela ya kujenga na mm ila leo niko kwangu japo mengi cjamaliza lakini mpka sasa 20mill zishanitoka na najiuliza zimetoka wapi kujenga sio mchezo aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni mkoa gani ?
kwa mkoani inawezekana japo haitaisha kiviiile

tofali za kuchoma 1500@ 100- 150,000
fundi msingi-boma -400,000
bati bando 2 475,000 (za kawaida )
waweza jengea udongo ukaja chapia simenti ila renta lazima kwa wastani mifuko 20-25 (sijui mkoa uliopo simenti bei gani)
mbao za kenchi -400,000-500,000
umeme 300,000
mfumo wa maji 300,000
choo 200,000
milango mi 3 ...300,000-500,000
dirisha 4 @70,000 za mbao, aluminiamu ziko juu

gypsum, tires na fundi -500,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom