Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
Wewe una uelewa mkubwa sana ila huna Lugha nzuri. Boresha Lugha yako utakuwa mtu mzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie,

Nimechoka kukaa NHC, huku nikiwa na kigari angali nyumba sina.

Kwa kipindi sasa nimekuwa nikitafuta ramani ya nyumba nafuu kuliko maelezo,, yani ni hivi:-

I we ya vyumba viwili na sebule na bafu LA ndani.
Matofali ya kuchoma (ya udongo)

Ikiwezekana nijenge kwa mpauo wa "flat roofing"
Au
Hidden roofing (naskia ni budgetary balaa ila kuna tahadhari cjazjua)

Niweke madirisha ya vioo ya bei ndogo yaani makubwa ila yasiyo ya kuslaid au alminium, (hapana)

Nitumie mbao chache na bati zisizozidi 35-40

Nataka iwe na muonekank wa vitofali vyekundu na mistar myeupe (HAPA TAFADHALI SANA WATAALAMU NISAIDIENI MAANA HATA CJUI HUWA WANAVICHORAJE, MAANA CNA UWEZO WAKUPATA ZILE BLOCKS NDOGO NDOGO ZA KUVAANA)

Nataka nyumba ya bei cheap kweli, yani kwa haraka haraka nitumie kama 3m

Nikiwaza bangaloo sitajenga Leo wala kesho.
Nipo mikoani (unnamed)

AsanteniView attachment 999854

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu kama ni sehemu ambayo tofali za kuchoma io hela unajenga na finishing kama unaweza ni dm nikupe namna ya kujenga na sitaki hela yako mm nakupa ujuzi am civil engneer na nimekaa nikifanya project za kushusha bei ya kujenga nyumba na ina mafanikio mengi ntafute mkuu tunaweza tukafanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
Mkuuu huo ni ujezi uliozoeleka ila kwa utaalamu wangu nmefanya project za nyumba za bei rahisi nyingi na n possible as longer tofali za udongo zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu kama ni sehemu ambayo tofali za kuchoma io hela unajenga na finishing kama unaweza ni dm nikupe namna ya kujenga na sitaki hela yako mm nakupa ujuzi am civil engneer na nimekaa nikifanya project za kushusha bei ya kujenga nyumba na ina mafanikio mengi ntafute mkuu tunaweza tukafanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss nichek tu apo PM unipe maujuzi, Mimi ela cna ya kufanyiwa Architectural project jaman, au mwaga vitu apa jukwaan, au if ni DM nionyeshe bas ndugu yako kamjengo rahis ka ile pesa yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
We jamaa ni nyoko. Inaelekea ni Fundi mzuri sana. Sijui unapatikana wapi

Push to Start
 
MIMI NA KUSAIDIA RAMANI
1547985028190.png
 
Kama gharama za chumba kimoja tu ziko hivi, wacha nimlipe baba mwenye nyumba wangu kodi yake...naahidi kutomzungusha tena!

BABA NA MAMA WENYE NYUMBA WOTE SHIKAMOO!
 
Kuchimba msingi
Tofali let say elfu moja
Sement
Nondo za lenta
Mbao za lenta
Kupauwa hapa ndo utalia kabisaaa
Bati sasa
Njoo gril na milango
Finishing

Hahaha ndo mana kuna baba mwenye nyumba na hakuna baba mwenye gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Noma!!!

Hiyo scene ya kupauwa usiombee,inaweza kukutoa mvi kama hukutulia,ujenzi ni gharama sana ila bora huyu analo hilo wazo la kujenga kuna mwengine hadi muda huu wala hajui kama kuna siku itamhitaji awe na nyumba yake yeye mwenyewe.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kama una kiwanja unaweza jenga vyumba viwli na sebule jiko na choo ila finishing inahitajika pesa tena ,ukiweza jenga hata nyumba ya chumba kimoja na sebule selfu na jiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Itategemea na maeneo aliopo na upatikanaji wa malighafi.. maana mm nna kipanda cha 1 masta, 1 siting room na jiko nimetumia 7milion na bado finishing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom