Shaka-Zulu
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 432
- 831
Nashangaa kwanini comment yako INA like moja!!! Mkuu wewe ni moja ya watu wachache sana wanaoweza kufukua shoka lenye kutu na kulinoa.
Sina mengi. Nimekuelewa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mimi sina tamaa ya Likes, ila nikiwa na kitu cha kuchangia huwa najitokeza! Halafu, wahenga walisema "Unaweza kumvuta punda mpaka kisima cha maji. Lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji" , so hapa pia wenye kiu ya nyumba watafikiria juu ya hoja yangu! Asante na ubarikiwe!