harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
amesema ANATUMIA MATOFALI YA KUCHOMA3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
Kuchimba msingi
Tofali let say elfu moja
Sement
Nondo za lenta
Mbao za lenta
Kupauwa hapa ndo utalia kabisaaa
Bati sasa
Njoo gril na milango
Finishing
Hahaha ndo mana kuna baba mwenye nyumba na hakuna baba mwenye gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na mchanganuo wako wa kutisha, ila mleta mada kasema ujenzi wake ni wa tofali za kuchoma.3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
Fikia milioni 5 nikupe mchanganuo, kwa 3 ni vigumu.au simamisha boma kisha utafute za kupaulia.M3 Kujenga nyumba?? Acha kutaka kupotosha watu hapa.
Mkuu, jenga nyumba iliyo na maisha marefu, siyo ile inayoyayuka kwenye mvua au inaokotwa na hewa huko Kigoma na kutupwa Mtwara.
Kama tayari kiwanja unayo, basi anza na msingi na jenga ukuta na paa. Mambo mengine unayamaliziya pole pole jinsi hela zinavyopatikana, na huku unahamia mle kuokoa kodi!
Nikajua yeye ndio anajenga..heading ingesoma hivi..nataka kujenga nyumba kwa 3M
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwa "KATISHA TAMAA"3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
Usikodi.Unanunua mbao unatengeneza hayo majukwaa mwenyewe. Ukimaliza kuyatumia mbao hizo hizo unajengea makabati ya vyumbani.Lakini si flat roofing? Afu mambo mengne vjjn Hamna, kama kukod izo mbao za lenta, my faza alijenga nyumba mbil town, nakumbuka kukodi zile frame za kufunhia linta zlkuwa 5000 kwa moja, na zilihitajka 17 18, alilipia so ni ghal ila kjjn hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]