Nitakupa jibu moja simple sana boss😃😃ELI COHEN najua uko interested sana na siasa za kimataifa na ujasusi kwa ujumla.
Indeed . Ni story za kusisimua na nzur zaid umezishuhudia.
namna hili tukio la kuuliwa kwa jamaa imetumika intellegencia ya hali ya juu . Pamoja na utaalam wa kitechnologia mkubwa sana.
maana Iran sio lelemama.
Interesting things ni kwamba unajiuliza je bomu limewezaje kupenya na lisiweze kuwa intercepted na air defence system za Iran? Had kwenye makaz ya Raisi?. Tena wakiwa wameshapewa alert?.
jasusi ELI COHEN
Hakika.Ni jana tu nimemaliza kuiangalia season ya tatu ya series ya Tehran...
Kuna namna ile series ina ukweli mwingi kuhusu Israel na Iran.