Alishindwa na Tshangalai akakataa kutoka madarakani ikabidi Morgan awe Prime MinisterKura ndio njia sahihi ya kubadili utawala
Alishindwa na Tshangalai akakataa kutoka madarakani ikabidi Morgan awe Prime MinisterKura ndio njia sahihi ya kubadili utawala
Eti wezi wa magharibi wakati boss wenu amewaandikia barua kuomba wamsamehehe ndegewewe ndio wakuulizwa unapost kwa maslahi ya nani?
udikteta wa Mugabe ni mbele ya jicho la wezi wa magharibi na sio wazimbabwe au waafrika.
Mugabe yuko madarakani kwa njia ya kura zilizofuata demokrasia...hata uchumi wa Zimbavwe ulianza kukua kwa asikimia 0.2 kwa mujibu wa wazungu na hali ya mambo ndani ya Zimbabwe ilianza kutengamaa.
Afrika nzima ilipaswa imuige Mugabe kwa kukataa uchumi kumilikiwa na wazungu na wezi wachache na badala yake umilikiwe na kuwanufaisha wengi walionyanyaswa kwa miaka mingi huko nyuma.
Mugabe alifanya kwa niaba ya Afrika.
nikuulize swali je...Mapinduzi ya kijeshi ni njia muafaka ya kumuondoa Mugabe??
Je jumuiya ya kimataifa inachekelea mapinduzi ya kijeshi Zimbabwe?
Kama jumuiya ya kimataifa inachekelea mapinduzi Zimbabwe basi tusiwasikie wakilalamikia mapinduzi ya kijeshi popote ulimwenguni.
Ebu tuambie unachokijuwa wewe na sisi tunufaikeMwandishi huyajui ya Zimbabwe..kakojoe ulale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti wezi wa magharibi wakati boss wenu amewaandikia barua kuomba wamsamehehe ndege
Mimi nawashangaa Wazimbabwe kwa nini imewachukua muda mrefu hivi kumng'oa huyo kibabu!!
Ilifika wakati watu walianza kushindia majani na nyama za panya!!
Huyo kibabu alipaswa kuwa keshaondolewa muda mrefu sana.
Akili kweli ndg we!sasa kitendo cha kumfanya mke wake arithi mikoba yke huo ni upumbfNani anayesema kuwa Mugabe anaifanya Zimbabwe mali ya familia yake kama sio wazungu?
Duh walikuwa wanajifanya wazalendo kumbe wapigaji@eNCA @UvekaR Zimbabwe’s Finance Minister Ignatius Chombo's gate is now just a bed sheet. Gate was ripped apart by soldiers who broke in to detain him. He was found in possession of USD10 million![]()
[HASHTAG]#Zimbabwecoup[/HASHTAG]![]()
![]()
Wamnogije ginehe?Ajage du watunogije nawe