Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,611
- 21,137
Basi hao wanajeshi watakuwa mamluki kutoka Magogoni pale. Sio waZimbomboHakuna mzimbabwe anayeamini hizo propaganda za wazungu
Basi hao wanajeshi watakuwa mamluki kutoka Magogoni pale. Sio waZimbomboHakuna mzimbabwe anayeamini hizo propaganda za wazungu
mimi ni muafrika nisiyenyenyekea wazungu.Wewe jingalao ni nani huko AU na kwa akili hizi jihesabie kama mwafrika usiye na faida kuwepo hapa afrika na uendelee kukaa kwenye vitundu hapo Lumumba kusubiri ujira wa buku 7
Wanaotaka kubadili uongozi sio wazimbabwe bali ni makabaila wa uzunguni.Hivi kwanini CCM mnaogopa sana hii ishu? Kwani kuna ubaya gani kwa wazimbabwe kujibadilishia uongozi wao kwa njia zao wenyewe? Mnanusa nini kwani hadi mnaogopa hivi?
Haina tatizo jomba, laiti ungejua mzee Jongwe alivyodumaza uchumi wa Zimbabwe asee ungejiuliza haya majeshi yalikuwa wapi siku zote.
Unasema jamaa wameshindwa kumuondoa kwa njia za demokrasia, hivi kweli we Mjingawao ndani ya moyo wako na kwa dini yako kabisa unaweza sema hivi? Zimbabwe kulikuwa na demokrasia katika chaguzi zote?
Sawa endeleeni kuburudika kwa malipo ya buku 7 wenzenu wamenyolewa hukoCCM na Serikali ina uzoefu mkubwa wa mapinduzi bara na visiwani.
aaaah baada ya miaka 37 unawadanganya watu namna hii nduguUchumi wa zimbabwe umetoka kwenye kurudi nyuma na kuanza kukua kwa asilimia 0.2%..
Lakini mbali na kutofatwa democracy ndio nchi ambayo watanzania wangependa kwenda hii ni kwanini?Hii inamaanisha Zimbabwe haifuati demokrasia
Mugabe alikuwa muuaji, lazima waungwana wafurahie kupinduliwa kwake.Ghadaffi aliondolewa na kuuawa kinyama kwa maslahi ya wazungu na hatima ya nchi ya libya imekuwa ni mbaya sana na kupelekea vita visivyoisha na ukimbizi wa aina yake duniani.
leo hii tunashuhudia jaribio la kumuondoa Mugabe kwa mapinduzi baada ya mbinu za kidemokrasia kushindwa.
Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37...msimamo huu unahusianishwa na yeye kuwafukuza matajiri wachache kwa manufaa ya umma.
Leo hii wazungu wanatuaminisha kuwa nchi ya Zimbabwe imeharibika kutokana na kuondoa mazingira ya unyonyaji wa wawekezaji wa kizungu.
Siku zote wazungu wamesisitiza kuhusu kubadilisha utawala kwa njia ya demokrasia...kwa nini wachekelee mapinduzi? Kwa nini hawatumii maguvu yao kuzuia mapinduzi?Je mfumo wa mapinduzi ni sehemu ya njia bora za kubadilisha tawala?
Ni wakati AU kuonesha makucha yake na kukataa double standards katika Demokrasia.Au wanapaswa kupinga kwa kauli na matendo yote dhidi ya mapinduzi haya ya kijeshi.
AU wasipoponga au UN wasipopinga mapinduzi basi tusuwasikie tena kupinga mapinduzi sehemu yoyote duniani.
Inasemekana jeshi la Zimbabwe liliwasiliana na China ili kufanya hayo wanayotaka kufanya...kama hili ni kweli basi AU haina budi kumuonya China na ikiwezekana kumkataa kama muwekezaji kwani naye atakuwa amekubaliana na wazungu kuimaliza Afrika.
AU watakuwa na kikao kinachohusu usalama kesho...tusubiri tuone tamko lao.
dah mkuu ndo hvyo tena mkuu but mugabe apumzike tu bwana...........Aliyedanganya sio mimi ni BBC kwa maslahi ya nchi yao
kwasababu hakuna viongozi design ya mugabeHuwezi sikia mapinduzi kwa wazungu!
Wakubwa zako wameandika barua Canada halafu eti shamba boy huwanyenyekei. Indirectly unawanyenyekea penda usipende. Wewe kweli pumbavu lao.mimi ni muafrika nisiyenyenyekea wazungu.
ndio maana natumia outroduction ya KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA