Nitawashangaa sana AU wakikubali mapinduzi Zimbabwe!

lets hope so...but so far vyombo vya Magharibi vinatueleza amepibduliwa na jeshi la nchi hiyo limeshindwa kujieleza vizuri.

Je kwa nini jumuiya ya kimataifa imekaa kimya dhidi ya mapinduzi ya kijeshi???

hakuna mamlaka yoyote ya zimbabwe sio jeshi wala mgambo ambayo imetangaza mapinduzi hadi sasa, so jumuiya ya kimataifa haiwezi kukomenti kwa taarifa za hisia za tv, radio na magazeti
 
Waafrica bado sana kujitawala, kuna muda CCM inatudanganya hadi unatamani turudi kutawaliwa na wajerumani tu.
 
Wanaotaka kubadili uongozi sio wazimbabwe bali ni makabaila wa uzunguni.
Ni principle ya kawaida kwamba uongozi huondolewa kwa njia halali na za kidemokrasia
Nadhani hiyo demokrasia haikuwepo Zimbabwe.. Yule alikuwa Dictator na Dictator huwa an'goki kizembe zembe eti kwa vikaratasi vya kura.
 
We jingalao mpotoshaji mkubwa uwa najalibu kufikilia unatumwa Na nani kupotisha ukweli Na kwa masirahi ya nani, tangu Zimbabwe iingie kwenye mfumo Wa vyama vingi Mugabe amekuwa akishinda kwa hila Na wizi Wa kura, wapinzani tumeona wakikamatwa kupigwa na kuumizwa vibaya, wee ulitegemea haya mambo ya namna hii yataendelea mpaka lini? Waafrica tumeaminishwa na viongozi wetu kwamba, kura ndio itakayochagua viongozi wetu lakini matokeo yetu ni ulaghai mkubwa huku viongozi wetu wakikutana addis ababa kuweka mazingira magumu kwa watu wanaochukua mamlaka kwa njia ya mapinduzi kwamba ni waarifu lakini hawasemagi wanaong,ang,ania madaraka na wezi wa kura wataondolewa vipi madarakani, leo tu aona kinachotokea kenya, tumwona katiba mpya haikutosha, kufanya mambo yaende salama, mahakama huru tume huru, bado kenyatta na familia yake na wenzie wanavyowndelea kuhujumu demokrasia, hakuna kiongozi yoyote africa anayezungumzia, habari za kenya, leo ikitokea jeshi likachukua hatamu mtaanza kuwalaumu na kuwawekea vikwazo tunaona yanayotokea congo na burundi, tunaona uganda, tena museveni alishataamka kwamba yeye ni kama quarter pin kwenye baiskeli inaingia kwa nyundo na inatoka kwa nyundo, hivyo basi anayetaka madaraka uganda aende porini akakutane na mwanamme museveni akishinda akaapishwe kampala sasa hapo unaywgemea nini? We jingalao usiwayiw watu utomvu machoni tunajua kinachowndelea kuna mkakati wa kuifanya demokrasia ndio chanzo cha migogoro ya kijamii afrika na wanaoendesha hii kampeni ni wanasiasa wa kiafrica walio madarakani ili waendelee kutawala huku wakilithishana kwa wakw na familia zao, hivyo wajiandae jinamizi LA mapinduzi afrika linafufuka this time around litakuja Na ukombozi Wa kweli Na ndio itakuwa mwisho kwa. Watawala wanaogopa kukua kwa kasi kwa demokrasia, mwisho nataka nichukue nafasi hii kuwaambia watanzania wenzangu tuishike demokrasia tusikubali iende hivi hivi kwani tilishajalibu huko kwingine hakutusaidia Na tuliona kipindi cha nyerere nchii ilivyokuwa aisogei, leo maendeleo kidogo tunapata kwa kuwa tuu mwizi akiwa anaiba ukampigia mayowe ya wizi hawezi kuiba vyote vingine ataacha kwa kuogopa kushikwa, Na ndio kinachotokea hapa kwetu at least hata Barbara wanajenga kwa kuogopa kushindwa so kwa kupemenda hivyo jingalao angalia sana uwe unstoa Na datajapo kwa shingo upande najua ukweli uupendi
 
Alikuwa dikteta baada ya kufurusha wazungu
 
Ghadaffi aliondolewa na kuuawa kinyama kwa maslahi ya wazungu na hatima ya nchi ya libya imekuwa ni mbaya sana na kupelekea vita visivyoisha na ukimbizi wa aina yake duniani.

leo hii tunashuhudia jaribio la kumuondoa Mugabe kwa mapinduzi baada ya mbinu za kidemokrasia kushindwa.

Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37...msimamo huu unahusianishwa na yeye kuwafukuza matajiri wachache kwa manufaa ya umma.

Leo hii wazungu wanatuaminisha kuwa nchi ya Zimbabwe imeharibika kutokana na kuondoa mazingira ya unyonyaji wa wawekezaji wa kizungu.

Siku zote wazungu wamesisitiza kuhusu kubadilisha utawala kwa njia ya demokrasia...kwa nini wachekelee mapinduzi? Kwa nini hawatumii maguvu yao kuzuia mapinduzi?Je mfumo wa mapinduzi ni sehemu ya njia bora za kubadilisha tawala?

Ni wakati AU kuonesha makucha yake na kukataa double standards katika Demokrasia.Au wanapaswa kupinga kwa kauli na matendo yote dhidi ya mapinduzi haya ya kijeshi.

AU wasipoponga au UN wasipopinga mapinduzi basi tusuwasikie tena kupinga mapinduzi sehemu yoyote duniani.

Inasemekana jeshi la Zimbabwe liliwasiliana na China ili kufanya hayo wanayotaka kufanya...kama hili ni kweli basi AU haina budi kumuonya China na ikiwezekana kumkataa kama muwekezaji kwani naye atakuwa amekubaliana na wazungu kuimaliza Afrika.

AU watakuwa na kikao kinachohusu usalama kesho...tusubiri tuone tamko lao.
Tulia hivyo hivyo dawa iwaingie, hii inaanza na kwa dikteta Mugabe itafuata kwa madikteta wengine
 
We jingalao mpotoshaji mkubwa uwa najalibu kufikilia unatumwa Na nani kupotisha ukweli Na kwa masirahi ya nani, tangu Zimbabwe iingie kwenye mfumo Wa vyama vingi Mugabe amekuwa akishinda kwa hila Na wizi Wa kura, wapinzani tumeona wakikamatwa kupigwa na kuumizwa vibaya, wee ulitegemea haya mambo ya namna hii yataendelea mpaka lini? Waafrica tumeaminishwa na viongozi wetu kwamba, kura ndio itakayochagua viongozi wetu lakini matokeo yetu ni ulaghai mkubwa huku viongozi wetu wakikutana addis ababa kuweka mazingira magumu kwa watu wanaochukua mamlaka kwa njia ya mapinduzi kwamba ni waarifu lakini hawasemagi wanaong,ang,ania madaraka na wezi wa kura wataondolewa vipi madarakani, leo tu aona kinachotokea kenya, tumwona katiba mpya haikutosha, kufanya mambo yaende salama, mahakama huru tume huru, bado kenyatta na familia yake na wenzie wanavyowndelea kuhujumu demokrasia, hakuna kiongozi yoyote africa anayezungumzia, habari za kenya, leo ikitokea jeshi likachukua hatamu mtaanza kuwalaumu na kuwawekea vikwazo tunaona yanayotokea congo na burundi, tunaona uganda, tena museveni alishataamka kwamba yeye ni kama quarter pin kwenye baiskeli inaingia kwa nyundo na inatoka kwa nyundo, hivyo basi anayetaka madaraka uganda aende porini akakutane na mwanamme museveni akishinda akaapishwe kampala sasa hapo unaywgemea nini? We jingalao usiwayiw watu utomvu machoni tunajua kinachowndelea kuna mkakati wa kuifanya demokrasia ndio chanzo cha migogoro ya kijamii afrika na wanaoendesha hii kampeni ni wanasiasa wa kiafrica walio madarakani ili waendelee kutawala huku wakilithishana kwa wakw na familia zao, hivyo wajiandae jinamizi LA mapinduzi afrika linafufuka this time around litakuja Na ukombozi Wa kweli Na ndio itakuwa mwisho kwa. Watawala wanaogopa kukua kwa kasi kwa demokrasia, mwisho nataka nichukue nafasi hii kuwaambia watanzania wenzangu tuishike demokrasia tusikubali iende hivi hivi kwani tilishajalibu huko kwingine hakutusaidia Na tuliona kipindi cha nyerere nchii ilivyokuwa aisogei, leo maendeleo kidogo tunapata kwa kuwa tuu mwizi akiwa anaiba ukampigia mayowe ya wizi hawezi kuiba vyote vingine ataacha kwa kuogopa kushikwa, Na ndio kinachotokea hapa kwetu at least hata Barbara wanajenga kwa kuogopa kushindwa so kwa kupemenda hivyo jingalao angalia sana uwe unstoa Na datajapo kwa shingo upande najua ukweli uupendi
wewe ndio wakuulizwa unapost kwa maslahi ya nani?
udikteta wa Mugabe ni mbele ya jicho la wezi wa magharibi na sio wazimbabwe au waafrika.

Mugabe yuko madarakani kwa njia ya kura zilizofuata demokrasia...hata uchumi wa Zimbavwe ulianza kukua kwa asikimia 0.2 kwa mujibu wa wazungu na hali ya mambo ndani ya Zimbabwe ilianza kutengamaa.
Afrika nzima ilipaswa imuige Mugabe kwa kukataa uchumi kumilikiwa na wazungu na wezi wachache na badala yake umilikiwe na kuwanufaisha wengi walionyanyaswa kwa miaka mingi huko nyuma.

Mugabe alifanya kwa niaba ya Afrika.

nikuulize swali je...Mapinduzi ya kijeshi ni njia muafaka ya kumuondoa Mugabe??

Je jumuiya ya kimataifa inachekelea mapinduzi ya kijeshi Zimbabwe?

Kama jumuiya ya kimataifa inachekelea mapinduzi Zimbabwe basi tusiwasikie wakilalamikia mapinduzi ya kijeshi popote ulimwenguni.
 
AU huwa wanafanyaga nini kusaidia wananchi wa Africa mpaka inafikia Jeshi liingilie kati kama ZiM kusawazisha mambo, Instead of having a civil and Peaceful Transtion of Power in a country within a given period of time?

Halafu hao AU si ndo hawa hawa wakina Jongo...teh!
Watulize mshono tu dawa iwaingie vizuri..
 
We jingalao unaonekana ni msoni ila umesomea itikadi Na propaganda kwenye nchi ambayo mpaka sasa haipo kwenye ramani ya dunia nchii hii inaitwa checkslovakia, sasa kama hata nchii uliopata elimu NAyo haipo not existing sasa uwenda Na hicho ulic hoenda kusomea nacho hakipo akilini Na ndio maana unapata taabu maana hakuna unachokijua ulivyosoma havipo, sasa ukweli ndio huo Mugabe hayupo tena bado wengine, Africa itabadilika we endelea Na hayo maneno mnayoita ya kimapinduzi kuwahita wenzenu mabeberu, huku ardhi mlishawanyang,anya mpaka leo mmeshindwa kulima yaani mie huo upuuzi wenu wakujihita wanamapinduzi huku mkiishi maisha ya wizi Na dhuluma kwa wanainchi wenu ndio mnatuchelewesha, mnaandaa uchaguzi kwa ela za umma kisha mnaiba kura, sasa kuna haja gani ya uchaguzi? So bora mtangaze ni zenu zimekuwa za single party kama zamani, nyiw Na hao mnaowahita viongozi Wa mapinduzi mmeshindwa hata kabla hamjashindanaPOLENI
Ila tubishane kwa hoja haya mambo ya watu wasiojulikana mie siwezi ila kama ni hoja pita mbele sio kuanza kutafutana kwa bunduki.
 
Kwako wewe ni ajabu lakini kwa madaktari hilo ni jambo la kawaida sana.hivi mtu anayeharisha mfululizo huwezi kuona matako yaliyochubuka?
Hapo ni mpaka uvuliwe nguo, sio kumuangalia mtu stendi kasimama anasubiri daladala. Mzee Baba unajishtukia kshenz, Zimbabwe mbali tuliza moyo. Gaddafi na Mugabe ni watu wa hovyo
 
We jingalao unaonekana ni msoni ila umesomea itikadi Na propaganda kwenye nchi ambayo mpaka sasa haipo kwenye ramani ya dunia nchii hii inaitwa checkslovakia, sasa kama hata nchii uliopata elimu NAyo haipo not existing sasa uwenda Na hicho ulic hoenda kusomea nacho hakipo akilini Na ndio maana unapata taabu maana hakuna unachokijua ulivyosoma havipo, sasa ukweli ndio huo Mugabe hayupo tena bado wengine, Africa itabadilika we endelea Na hayo maneno mnayoita ya kimapinduzi kuwahita wenzenu mabeberu, huku ardhi mlishawanyang,anya mpaka leo mmeshindwa kulima yaani mie huo upuuzi wenu wakujihita wanamapinduzi huku mkiishi maisha ya wizi Na dhuluma kwa wanainchi wenu ndio mnatuchelewesha, mnaandaa uchaguzi kwa ela za umma kisha mnaiba kura, sasa kuna haja gani ya uchaguzi? So bora mtangaze ni zenu zimekuwa za single party kama zamani, nyiw Na hao mnaowahita viongozi Wa mapinduzi mmeshindwa hata kabla hamjashindanaPOLENI
Ila tubishane kwa hoja haya mambo ya watu wasiojulikana mie siwezi ila kama ni hoja pita mbele sio kuanza kutafutana kwa bunduki.
Kiukweli mimi sijasomea hiko unachohisi japo sikatai kuwa mimi ni msomi.
Argument zangu ziko clear kabisa...argument yangu ni demokrasia...ninakataa mapinduzi yawe yanatokea nchi yoyote ile.

Kama mapinduzi ni sawa Zimbabwe basi tusije kusikia mapinduzi ni haramu popote pale duniani.
 
Hapo ni mpaka uvuliwe nguo, sio kumuangalia mtu stendi kasimama anasubiri daladala. Mzee Baba unajishtukia kshenz, Zimbabwe mbali tuliza moyo. Gaddafi na Mugabe ni watu wa hovyo
Mugabr na Ghadaffi ni hovyo kwa maslahi ya wazungu na si vinginevyo
 
Kuliko mke wa pili wa Mugabe aongoze ile nchi bora jeshi lilivyofanya kuunda serikali ya mseto lazma ifike mahali waafrica tuishi kama jamii iliyostaarabika
 
Itakuwa mganga wa dikteta mhenga kafa,aliewaloga wazimb .Heshima ya dikteta ni kuondoka madarakani kwa aibu.
 
Mimi nawashangaa Wazimbabwe kwa nini imewachukua muda mrefu hivi kumng'oa huyo kibabu!!

Ilifika wakati watu walianza kushindia majani na nyama za panya!!

Huyo kibabu alipaswa kuwa keshaondolewa muda mrefu sana.

Mimi ndie RAISI wa zimbabwe. Ni lini wananchi wangu walianza kushindia majani??? Na panya??? Shahidi Grace Mugabe!! Muulize atakupa ukweli.
 
Back
Top Bottom