mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,862
- 136,765
We mpuuz kweli we ulitaka Mugabe aendele kuifanya Nchi Kama Mali yke yy na familia yakeHakuna mzimbabwe anayeamini hizo propaganda za wazungu
Ova
We mpuuz kweli we ulitaka Mugabe aendele kuifanya Nchi Kama Mali yke yy na familia yakeHakuna mzimbabwe anayeamini hizo propaganda za wazungu
Ghadaffi aliondolewa na kuuawa kinyama kwa maslahi ya wazungu na hatima ya nchi ya libya imekuwa ni mbaya sana na kupelekea vita visivyoisha na ukimbizi wa aina yake duniani.
leo hii tunashuhudia jaribio la kumuondoa Mugabe kwa mapinduzi baada ya mbinu za kidemokrasia kushindwa.
Kwa mujibu wa BBC wazungu wanaamini kuwa Zimbabwe imekuwa mismanaged kwa miaka zaidi ya 37...msimamo huu unahusianishwa na yeye kuwafukuza matajiri wachache kwa manufaa ya umma.
Leo hii wazungu wanatuaminisha kuwa nchi ya Zimbabwe imeharibika kutokana na kuondoa mazingira ya unyonyaji wa wawekezaji wa kizungu.
Siku zote wazungu wamesisitiza kuhusu kubadilisha utawala kwa njia ya demokrasia...kwa nini wachekelee mapinduzi? Kwa nini hawatumii maguvu yao kuzuia mapinduzi?Je mfumo wa mapinduzi ni sehemu ya njia bora za kubadilisha tawala?
Ni wakati AU kuonesha makucha yake na kukataa double standards katika Demokrasia.Au wanapaswa kupinga kwa kauli na matendo yote dhidi ya mapinduzi haya ya kijeshi.
AU wasipoponga au UN wasipopinga mapinduzi basi tusuwasikie tena kupinga mapinduzi sehemu yoyote duniani.
Inasemekana jeshi la Zimbabwe liliwasiliana na China ili kufanya hayo wanayotaka kufanya...kama hili ni kweli basi AU haina budi kumuonya China na ikiwezekana kumkataa kama muwekezaji kwani naye atakuwa amekubaliana na wazungu kuimaliza Afrika.
AU watakuwa na kikao kinachohusu usalama kesho...tusubiri tuone tamko lao.
We mpuuz kweli we ulitaka Mugabe aendele kuifanya Nchi Kama Mali yke yy na familia yake
Ova
Hao dawa Yao inachemkaKama anavyofanya Kabila, Kagame na Museveni.
Tulia wanyolewe, pilipili usioila ya kuwashiani?Uchumi wa zimbabwe umetoka kwenye kurudi nyuma na kuanza kukua kwa asilimia 0.2%..
Well said Jebs!AU wanadai hawatambuwi mabadiliko ya kiuongozi ya kimapinduzi, hapa naona wataongea na Comrade tu, kwamba yatosha, raia wanaumia, apumzike tu, Makamu rais ataongoza kwa muda, pamoja na kwamba wanadai Makamu hana tofauti kabisa na Comrade, twajuwa kilichotokea, yeye Comrade alitaka mazuri, unfortunately dunia inaongozwa na binadamu aliye mweupe, mwanaume, katili, mnyonyaji kufa, huyu binadamu akisema popote ulipo kwamba hufai sababu tu hujampigia magoti huwezi ongoza nchi, labda uwe na Nuclear Power, watayaongea, nchi ilifika pabaya sana aise..yatosha kwa faida ya raia...
Sawa wanavyomtoa huwezi kumhonga mkeo nchiWanaotaka kubadili uongozi sio wazimbabwe bali ni makabaila wa uzunguni.
Ni principle ya kawaida kwamba uongozi huondolewa kwa njia halali na za kidemokrasia
Zipi?Ziko njia za kidemokrasia za kumpumzisha