Kuna mtu alinitimia elfu 43 voda, akanipigia simu kunijuza nami nikamrudishia pesa zote aisee huyo mtu hadi leo amekuwa rafiki yangu, tunachat na kusalimiana kama ndugu. Pesa kwa wengine huonekana maana haramu hadi kutokomea kusikojulikana..pole sana