Nitamwambiaje mchumba wa zamani kuwa sitomuoa tena

huyu ana lake jambo alomuumiza ajampa pole wala kumweleza kwamba ameoa ww anakuomba pole kweli hii ni haki asiowapenda watu wa nyumbani kwake mwenyewe ni mbaya kuliko asiyeamini[/QUOTE]

kamsemo katamu....
 
Wewe mrusha thread Laussane hujamuambia tu mpaka sasa hivi zishafika 70+ posts unajua
 
mumewangu mm nimekujibu kule kote hujasema kitu,majina yooote matamu nimekuita,sasa c ulisema sijakutambulisha mashem zako?kumbe unawajua eeeeeeh?

aaaah usitake nicheke mke wangu umenitambulisha mmoja tu mpaka ss
 
Jamani naona tuache kupoteza calories zetu kwa kumshauri huyu jamaa,sidhani kama anahitaji ushauri huyu,anatuzuga.
 
kule kwenye majina matam umeona?lkn wako wengi zen ss waafrica woteee ni ndugu as daiz goz on watazidi kuongezeka tu,usiwe na wasi wanaoongezeka ni madada na wadogo wa kike wangekuwa wa kiume je?si ningejuuta kukufaham?

I told u pple ze dude is not serious,kama kamdanganya huyo msichana atashindwa kutudanganya ss?ambao hata kimwili hatujungana?sembuse kimawazo?
Jamani naona tuache kupoteza calories zetu kwa kumshauri huyu jamaa,sidhani kama anahitaji ushauri huyu,anatuzuga.
 
kule kwenye majina matam umeona?lkn wako wengi zen ss waafrica woteee ni ndugu as daiz goz on watazidi kuongezeka tu,usiwe na wasi wanaoongezeka ni madada na wadogo wa kike wangekuwa wa kiume je?si ningejuuta kukufaham?

nimekugongea thanks dia au ujaona
 
eeeh loh story yako sijaielewa elewa ..ulivyo mu -approach mwanzo ulimwambia hujaoa , utamuoa ?
 
eeeh loh story yako sijaielewa elewa ..ulivyo mu -approach mwanzo ulimwambia hujaoa , utamuoa ?
wachana naye huyu!! he is wasting our precoius time tu my dear!! tumeuliza tumechoka........
 
eeeh loh story yako sijaielewa elewa ..ulivyo mu -approach mwanzo ulimwambia hujaoa , utamuoa ?

sijakuelewa Firstlay unamaanisha nilipomuapproach yupi? mana hapa kuna niliemuoa na yule mchumba tunaemzungumzia
 
Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!

Hapa mshkaji tembea uone. Nina least ya ma-friends zangu waliwaletea mamanzi wao mizinguo wakapigwa pipe. Ee bwana madem dizaini ya tunaoruka nao sisi bora umwambie mapeeeeema kuwa huna nia na ndoa. Lakini kama ulimwingia kwa gea ya kumwoa, hatoki mtu mazee.

Ukimshiti tu anakupiga bomba......tena kimya kimya. Watu wanakula ubwabwa basi tena.....

Mademu wa wapi hawa ...siwaaambii. Ila wako fiti kinoma. Nyi endeleeni kufikiri tuko karne ya 20, tutawafukia siku si zenu....yaani huwezi kutongoza mpaka udanganye utamwoa?????....mtapigwa pipe za vichwani mbuzi nyie!!!!!!!!shauri yenu!!!ACHENI USHAMBA!!!!!!!A SHAWO!!!!!!!!!!
 
Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!

Kuwa mkweli tu tena wala usipoteze muda. Haya mambo yanayotokea duniani kote na yanafanywa na jinsia zote na wewe siyo wa kwanza. Itakuwa vizuri kuwa naye ana kwa ana kama una ujasiri wa kufanya hivyo.
 
mmmm I can see fireworks flowing from every corner....poor gal!gret thinkers nanyi hamchelewi!
 
Back
Top Bottom