Msaada wa kisaikolojia: Siwezi kupenda tena

THE JAGGERS

JF-Expert Member
Apr 3, 2023
444
292
Habari zenu wana JF katika jamvi.

Naomba ushauri wenu jamani. Miaka mitatu iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano na demu fulani hivi hakika nilimpenda sana ila ikafika tamati yetu tukaachana.

Baada ya hapo nilitembea na wasichana wengi wasiokuwa na idadi lakini sikuwahi kumpenda yeyote yule kila nikijitahidi hata kupenda nashindwa naombeni ushauri wenu jamani.
 
Umehudhuria hata ibadani kweli? Au unaingia misa ya saa nne
 
njiani tu mkuu
Mapenzi ya njiani huishia njiani Waweza kuwa ulikutana na jini mahaba njiani au mwenye hilo jini .Hilo mkibwagana huji kusikia hamu tena ya mwanamke.Hata ukimuona waweza ona kinyaa na kujiapiza kuwa huji kuoa au kutaka mwanamke

Hata wanawake wengi wanakutana na wanaume wenye hayo majini mahaba wakiachwa huapa kutokuwa na mwanaume tena na huona hata kinyaa wakiona mwanaume

Dawa yake nenda Kwa Mwamposya ukafanyiwe maombi.Utakaa sawa

Ni pepo hilo
 
shukhran mkuu
 
Habari zenu wana JF katika jamvi.

Naomba ushauri wenu jamani. Miaka mitatu iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano na demu fulani hivi hakika nilimpenda sana ila ikafika tamati yetu tukaachana.

Baada ya hapo nilitembea na wasichana wengi wasiokuwa na idadi lakini sikuwahi kumpenda yeyote yule kila nikijitahidi hata kupenda nashindwa naombeni ushauri wenu jamani.
Kama ukiona upendi wasichana jaribu kutembea na wavulana huwenda ikasaidia...
 
Back
Top Bottom