Nitamwambiaje mchumba wa zamani kuwa sitomuoa tena

I knw u my twini najua ulikuwa unakaribia kumshushia kichapo,shemejio si unamuona anavyoniheshim?
hahaaaaaaaa lol!!

afadhali umenishusha hasira maana duh............
 
Wewe hukujali unafiki wala kufikiria mwenzako atajisikia vipi ukafanya maamuzi eti kwa sababu wewe ni dume halafu unataka ushauri. we ngoja huyo uliyenae amegwe halafu uombe ushauri. Ninyi ndiyo mnaotuharibia matokeo yake kina mama wanatuona wot sh|:><?@!y


hivi huyu mkaka kafanya kosa gani jamani?
 
wat do u mean sababu hazizuiliki? in ur post sijaona sababu sisizo zuilika zen badae utasema shetani tu alinipitia sijui kwann nyinyi hammpitii huyo shetani

Pole sana utapata mwingine naona kama hasira unahamishia kwangu sio mimi lakini
 
jamani mume wangu!kila cku mnawasiliana na shem wako,jana katuam,ulia ugomvi,leo eti humjui!ivi umekula lunch?plz nenda kale dia ladba utapata nguvu upya
mbona unitambulishi kwa mashemejiiiiiiii
 
ww umetaka ushauri unapewa unaanza kuwapa pole wake za watu ulomuhumiza ujampa pole bado be sirious man


ndio mana mie naona kama huyu mtu hajielewi, kwanza hana kosa, ulikuwa sio uchumba bali ni urafiki wa kawaida sana tu.....karukia kwenye pole badala ya kushuka na thread aeleweke.
 
tell him swty hat,tell him darlng,tell him husband tell him aaaaaaah mmmmmh my wen eva wereva!
ww umetaka ushauri unapewa unaanza kuwapa pole wake za watu ulomuhumiza ujampa pole bado be sirious man
 
nilishampata,wala sijahamishia hasira kwako but imesemwa tutavuna tulichopanda

huyu ana lake jambo alomuumiza ajampa pole wala kumweleza kwamba ameoa ww anakuomba pole kweli hii ni haki asiowapenda watu wa nyumbani kwake mwenyewe ni mbaya kuliko asiyeamini
 
Back
Top Bottom