Duuu nini mbaya?Naona Niffah kawa banned. To be honest nitammis sana humu ndani. Napenda sana michango yake kwenye mada kadha wa kadha. Pole sana NiffahView attachment 470912
Nimroge?![]()
![]()
Mkuu wewe sio wa kunifanyia hivi bwana.
PouwaNi kitambo mkuu ila kuna jamaa kaibua hii thread leo
Dah, ila mshanaNimroge?

Welcome back my dear sister.Amen![]()
Thank you, I'm humbed.
ndugu yangu usitamke kwani ban ina maumivu makali sana yaani usithubutu upate ban maana majangaNifanyeje ili nipate ban