Nitakumis sana Niffah

Nami nilipelekwa central ya JF bila kuhojiwa mkuu,bora wale wenzangu walihojiwa.
huu ujinga wa kumpiga mtu ban bila kuongea naye moderator wanatakiwa waache mara moja, kwa maoni yangu tutafute tume huru yaani wanajukwaa sema 10 huru,sio moderators ambao watahusika na kutoa ban kwa kupiga kura ila ni baada ya mtuhumiwa kutoa utetezi wake, pole sana mrembo
 
Mwanzo nilimind niliposoma hii post lakini nilipotulia nimekuelewa hasa hapo nilipobold....

Japo umeweka porojo nyingi ila maisha lazima yaendelee...chuki ni bure.
Period

Dada yangu Nifah hata Mimi Kaka yako leo unanipovukia hivi? Naomba radhi na najuta ' kukutania ' na ' nimekoma '. Ngoja nikae mbali nawe ili ' Mfungwa ' nae akifunguliwa asije nimaliza kabisa!
 
Dada yangu Nifah hata Mimi Kaka yako leo unanipovukia hivi? Naomba radhi na najuta ' kukutania ' na ' nimekoma '. Ngoja nikae mbali nawe ili ' Mfungwa ' nae akifunguliwa asije nimaliza kabisa!
Umeoandika kwa huruma sana hadi unatia huruma
 
huu ujinga wa kumpiga mtu ban bila kuongea naye moderator wanatakiwa waache mara moja, kwa maoni yangu tutafute tume huru yaani wanajukwaa sema 10 huru,sio moderators ambao watahusika na kutoa ban kwa kupiga kura ila ni baada ya mtuhumiwa kutoa utetezi wake, pole sana mrembo
Sijui kwanini tunahukumiwa bila kuhojiwa,halafu slogan ni where we dare to talk openly!

Nafikiri ingekuwa vyema kabla ya kutiwa korokoroni tuwe tunahojiwa na baada ya hapo maelezo yetu ndiyo yatakayoamua.

Ah asante mkuu,nimeshapoa.
 
Dada yangu Nifah hata Mimi Kaka yako leo unanipovukia hivi? Naomba radhi na najuta ' kukutania ' na ' nimekoma '. Ngoja nikae mbali nawe ili ' Mfungwa ' nae akifunguliwa asije nimaliza kabisa!
Mbona nimekujibu kawaida tu jamani? Actually umesema jambo lililonifanya nitafakari sana.

Niwie radhi broh,if I offended you
 
Nakumbuka wakati ni mgeni huku nilikutana na habari kwenye page ya Facebook ya jamii forum halisi kuwa Jf imefungiwa au ina mpango wa kufungiwa. Nikaja mbio mbio kufungua thread ya kuuliza kama ni kweli au hapana. Dash niliambulia Ban alafu nikawa sielewi maana yake ni nini. Ushamba mbaya sana
 
Ale tu bani khaa bado na yule The bold naye apate

anglizo; nimewaza tu haahahahah (in le mutuz sound)
Acheni roho mbaya hizo za kuwaombea wenzenu mabaya muda wote, ndio maana nchi inabakia maskini, kila MTU roho mbaya ameizidisha.

Sasa wewe mwenzako akiwa banned unanufaika nini? Au unakereka na simulizi zake nzuri anazozitoa? Hizi ndio roho za kichawi, unapomuona mwenzako ana kitu kukuzidi wewe muombee Mungu.
 
basi mwenzako nkajua ze bolidi...kakustresisha na kadivosi.....sasa unajiwazisha...kama utachangia au la kwenye mabandiko yake.... ....!!!...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom