Yupo wewe hujui tu.................Naona Niffah kawa banned. To be honest nitammis sana humu ndani. Napenda sana michango yake kwenye mada kadha wa kadha. Pole sana NiffahView attachment 470912
Andika uchochezi au matusiNifanyeje ili nipate ban
imba ile nyimbo ya nikki mbishi.Nifanyeje ili nipate ban
Wakifanya hapa ndio kwa kupunguzia stress, ban zitakuwa za kutosha!Kwa maudhi ya serikali hii na member wengine humu JF kula ban itakuwa kitu cha kawaida