Nitakumis sana Niffah

Mungu wangu,huu ni upendo mkubwa! Sijui nikuambie nini ili kuielezea furaha niliyonayo.
Nashukuru sana mkuu,umeingia ktk kitabu changu cha kumbukumbu.
Ubarikiwe.
Usijali mkuu. Hizi ni changamoto ambazo wengi tunapitia. Wakati mwingine unaweza kukosea bila kujua na pia unaweza usieleweke ulichokuwa unamaanisha na haya ndio matokeo yake. The good thing ni kuwa tupo pamoja tena katika ujenzi wa taifa letu

Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba uache kuupotosha umma,sijawahi kukutumia picha zangu P.M
Unasema hivi ili iweje?
Hata kama ningekuwa nimekutumia,unasema hapa ili iweje?
Unazijua sheria za JF?
watu wanataka kumjua nifah wamekuja hao wanataka niwatumie wengine nimewatumia za pipi yule dada wa THT.
 
Asikupotoshe,sijawahi kumtumia picha zangu kabisa.
Sijui watu wengine wakoje!

Wapo wengine huwa wanadanganya wananijua,nikiambiwa wanavyonielezea naishia tu kucheka.
JF hii hatari sana
Hahahahah watu wanapenda umbea sana yaani ningekuwa nauza picha zako leo tungegawana manoti.

Ila ni katika utani nifah wala usiweke moyoni.
 
Kafanyaje kwani?

Kagongesha ' Magari ' mawili kwa wakati mmoja halafu at the end of the day ' kasepa ' na moja na bahati mbaya sana analipigia ' Promo ' kila kukicha utadhani dawa ya Malaria hilo Gari je unadhani lile Gari jingine litafurahi? Naomba niishie hapa tafadhali. Hata hivyo ' keshatoka ' Kifungoni kwani kuna mahala kanipa ' like ' katika ' uzi ' wangu.
 
Hahahahah watu wanapenda umbea sana yaani ningekuwa nauza picha zako leo tungegawana manoti.

Ila ni katika utani nifah wala usiweke moyoni.
Mkuu si ungenitonya mapema tupige mpunga?Ningetafuta picha ya mdada anayekaribia kufanana nami.
Daaaaamn

Ni sawa mkuu,mwanzo nilimind lakini nimekuelewa sasa.
 
Mkuu si ungenitonya mapema tupige mpunga?Ningetafuta picha ya mdada anayekaribia kufanana nami.
Daaaaamn

Ni sawa mkuu,mwanzo nilimind lakini nimekuelewa sasa.
usjali Nifah nimejua watu wanatamani sana kujua wanawake wa humu tungeongea mapema tungeingiza mkwanja kama ule wa unga
 
Kagongesha ' Magari ' mawili kwa wakati mmoja halafu at the end of the day ' kasepa ' na moja na bahati mbaya sana analipigia ' Promo ' kila kukicha utadhani dawa ya Malaria hilo Gari je unadhani lile Gari jingine litafurahi? Naomba niishie hapa tafadhali. Hata hivyo ' keshatoka ' Kifungoni kwani kuna mahala kanipa ' like ' katika ' uzi ' wangu.

Mwanzo nilimind niliposoma hii post lakini nilipotulia nimekuelewa hasa hapo nilipobold....

Japo umeweka porojo nyingi ila maisha lazima yaendelee...chuki ni bure.
Period
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom