Hata mimi ndo hapa wanaponishangaza. Kama mungu ni mmoja mbona kuna dini lukuki.Sasa kutakuwaje na dini wakati mungu mmoja?
Katika quran kuna vipando vingine bado mpaka leo havija gundulika hapa ulimwenguni mpaka leo hii unalijua hilo? Rejea sura ya 17 uone Muhamad 'Rehema na amani zimwendee huko aliko' alivyokwenda Jerusalemu usiku kutokea Maka kwa muda mfupi kabisa na akarudi usiku huohuo.Sitaki kufikia hatua nikazungumza na nikaonekana nakashifu imani za watu wengine kwa sababu mm naheshimu sana imani zote. Lakini ww inakuingia akilini eti yameandika yaliyomo na yatakayokuja ktk Qur'an! Si dhihaka ila unawwza kuniambia kama ktk Qur'an iko aya inayosema watu watawasiluana kupitia internent? Je kuna hadithi mtume aepanda tren ya umeme ama ndege! Haya mambo huwezi kuyakuta kabisa ila unaweza kuona ngamia, jahazi punda nk kwa sababu zama hizi ndo vitu vilivyokuwepo. Sasa Qur'an nzima tunaambia mara ngamia mara punda wakati kizazi chetu cha treni za umeme huyo ngamia tunamuona zoo tu na wewe bado unaamini kuwa kwa kitabu hiki faded uongoze maisha yako ya sasa. Tafakari
Sura ya 17 aya gani? Nambie na sura inaitwaje niko na Qur'an hapa.Katika quran kuna vipando vingine bado mpaka leo havija gundulika hapa ulimwenguni mpaka leo hii unalijua hilo? Rejea sura ya 17 uone Muhamad 'Rehema na amani zimwendee huko aliko' alivyokwenda Jerusalemu usiku kutokea Maka kwa muda mfupi kabisa na akarudi usiku huohuo.
Kumbe unakubali kuwa nao wana dini?Hebu soma vizuri comment yangu halafu highlight sehemu ambayo nimesema wahadzabe hawana dini. Nadhani umenicot vibaya.
Pia soma vizuri comment yangu na u highlight sehemu ambayo nimesema wahdzabe wana dini!Kumbe unakubali kuwa nao wana dini?
Ukiambiwa sura ya 17 maana yake uisome yote, pia ukisema inaitwajwe ni ubabaishaji kwani kama Qur an unayo ungeshaiangalia na ukajua yaitwajwe, soma suratul Israa aya ya kwanza inakufungua maarifa. 17:1Sura ya 17 aya gani? Nambie na sura inaitwaje niko na Qur'an hapa.
Kwa hiyo hujui unachosimamia maana sasa unaonesha hukubali kuwa wana dini wala hukatai kama wana dini.Pia soma vizuri comment yangu na u highlight sehemu ambayo nimesema wahdzabe wana dini!
Sasa kutakuwaje na dini wakati mungu mmoja?
Kuna miungu wengi lakini MUNGU MKUU ni mmoja tu. Si unaona siku hizi hatavBeyonce ni mungu!!? Kuhusu msimamo wako hilo ni lako mwenyewe wala halituhusuHata mimi ndo hapa wanaponishangaza. Kama mungu ni mmoja mbona kuna dini lukuki.
amini unachojuaDini zenyewe siku hizi ni biashara tu
Mleta mada nimekuelewa sana, nakuunga mkono
Dini watu zimewangia mpaka wanauwa wenzako ukiwauliza ohhh tunapigania dini.haya sasa huyo mwenyewe aliyezileta si angetoa msaada kwa upande unaoonewa, hapa nahisi kuna tatizo hapa si bure
qur an tukufu inaendana na mabadiliko ya dunia na utandawazi.kwahiyo haina hajanya kufanyiwa marekebisho
