Nitaendelea kutokuwa na dini

Nitaendelea kutokuwa na dini

unaeleza vizuri lkn sijaona kama unania ya kuelewa kama tukijaribu kukusaidia.
Malalamiko na hoja nzito ulizotoa zinajibika, ila ukupali kunyenyekea na kupokea vitu vikubwa. Kwa uislamu sina la kusema maana mimi naamini wote walipaswa kuwa wafuasi wa kristo. Na Kitabu kitakatifu cha quraan ni daraja litakalowavusha kutoka huko kuja kuamini manenpo ya uzima.
Kitu kizuri kikitumika kwa ubaya, ubaya huo haukifanyi kile kitu kuwa kibaya ila mtumiaji.
Ill b Back
 
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Hapo cjakuelewa unamana gani unamjibu huyu jamaa au cjaelewa hii hadithi yako
 
utambue pia hata wazungu nao waliletewa dini in short hakuna kitu kisischokuwa na founder, najua hatupendi kufuata ideologies za wazungu lakini maisha yote yanatawaliwa nao okay tutakataa dini, vipi kuhusu democracy, dressing, education, economical systems, technologies,yaani kwa kifupi maisha yetu kwa ujumla katika yote haya ukiyapima direct effect kwenye maisha yetu na positive changes utaona bora dini kuliko any other factor.
Kama tungeendelea na mfumo wetu wa maisha bila kuufakamia huu mfumo ulioletwa na wazungu nadhani waafrika tungelikuwa na maisha mazuri na yenye furaha kuliko watu wote duniani. Wazungu walitukuta happy ila mifumo yao ndo imeharibu kila kitu Africa. Sisi tulikuwa na kila kitu b4 wao mfano education system, technoloy, utawala, dini etc. Ila walivyoleta wao ndo vimeharibu kila kitu.
 
Umesema utaendelea kutokuwa na dini..na hiyo ndio imani yako coz unaamini hakuna Mungu na huamin dini yyote..
Sasa je,lengo lako hasa kuleta hii mada ni nni?
Kwa nni usikae kimya na imani yako...
Au huna confidence na unachokiamini sasa unataka labda tu ku prove wrong?....
Amini unachokiamin na usisumbue wengine..

Umemaliza eeeeeh
 
Ni sawa tu kwa maamuzi yako kwani wewe unarudia mzee kingunge wa kwanza kabla yako kutokua na dini hivo sio ajabu
 
Habari yako mkuu,hebu nikuulize kwanza je nafsi yako umeiacha huru kuujua ukweli?, kama umeiacha huru basi nakushauri acha kutazama mavazi majengo tabia zao na mengine mengi kutoka kwao na anza kufanya tafiti kikweli naamini mwenyeezi mungu atakuongoza inshaallah.
 
Inshallah
 
Lengo ni kufanya wewe utambue kuwa kuna watu wanaamini katika kutokuwa na dini pia kukutana na watu wenye imani kama yangu. Thanks
Hata usingeandika,toka zamam sana nafaham kuna watu wasio amini dini hizi na pia kuna nchi ambazo watu wake hawaamin dini hizi za mapokeo...
Kwa iyo uandike usiandike haubadili chochote...
Unatujazia server tuu bas..
 
Sawa mkuu nashukuru kwa mchango wako lakini bado hukujibu hoja hata moja inayonifanya nisiamini dini.
Kwani umeleta mada hii ili ijibiwe, upongezwe kwa kutokua muumini wa Kiisllam, au Kristo, ama kutafuta wafuasi, ama kutujuza tu ama nini hasa lengo lako. Nimekuuliza hivi kutokana ulivyomjibu mchangiaji hapo juu, amekuuliza kulikua na haja ya kuleta hapa jamvini, si ungekaa nalo tu. Wewe badala kumweleza dhumuni lako, unamwambia hajajibu hoja yako hata moja, Yeye amekubaliana na hoja zako ila anachotakujua ni kwanini utuambie sisi. Labda mimi nikuulize kulingana na moja sababu zako, hii kuwa ilileetwa na wageni. Je nguo unazotumia hazikutwa na wageni, Magari, TV, Ndege, barabara za lami niiiishie hapo kwanza.
 
Inayosema watu wakifa wasizikwe Na majeneza! Kumbe sababu ya ukame Na Jangwa kipindi cha Mtume! Kupelekea kutokuwepo kwa miti ambayo inngekatwa mbao!?
1.
Na mpaka sasa,ukataji miti ni uharibifu wa mazingira,hili suala LA kukata miti ovyo,dunia nzima linapigwa vitwa.
2
Ukija upande wa kuzika maiti kwa kutumia aina yoyote ya jeneza,ikiwa wa plastiki,chuma,bati,mbao,box,fiber nk ni uharibifu wa mazingira vile vile.
Kwa hiyo moja kwa moja,ni ushahidi tosha,mafunzo ya Mtume Muhammad (S.A.W),yanakwenda na wakati.
 
Hata usingeandika,toka zamam sana nafaham kuna watu wasio amini dini hizi na pia kuna nchi ambazo watu wake hawaamin dini hizi za mapokeo...
Kwa iyo uandike usiandike haubadili chochote...
Unatujazia server tuu bas..

Dini zenyewe siku hizi ni biashara tu

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Kwa hiyo,wewe uko nyuma kwako hakutoi uchafu?Hayo ni mafunzo ta usafi,ni mafunzo kwa ajili ya watoto,ili waelewe usafi ni nini.Usafi ni muhimu.MTU ni Afaya.
Ikiwa wewe wapinga usafi wa mwili,Nguo,kiwiliwili,unakwenda kinyume taratibu za afya.Lazima watu wakushangae,wakuone ni mtu wa ajabu,au unafuata dini ambayo haizingatii usafi.
 
Inayosema watu wakifa wasizikwe Na majeneza! Kumbe sababu ya ukame Na Jangwa kipindi cha Mtume! Kupelekea kutokuwepo kwa miti ambayo inngekatwa mbao!?
Mbona jeneza moja tu linatosha kuzikia kijiji kizima, au unamaanisha kufukiwa na jeneza bila kuutoa mwili, kama wafanyavyo baadhi ya Wakristo?
 
Alichosema mleta mada ni ukweli mtupu usio na hata chembe ya kejeli ,kwani ni nani anabisha kuwa haya madini ndiyo yanaharibu dunia kwa sasa,vita zimesambaa kila mahali,kisa imani.Ni bora kuishi kama wachina ambao wengi wao dini yako ni wewe na nafsi yako.
 
Back
Top Bottom