Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Huyo sio mwanamke kwanza ni changudoa.Pili anania ya kukuchuna hana mpango na wewe.ushauri achana naye
Mwanamke anaekupenda anajaribu kucope na situation uliyomo, sasa wewe mtu anatafuna vitu kisha unaitwa kuja kulipa tu kama zuzu hata kukuhurumia hakuna wakati anajua situation yako kimapato? Kweli kuna watu mnajua kuvumilia!
Utakuta mko hata 10, watano wanadonate magari na mafuta, watano ndio wewe na wenzio msiojielewa.
Amka Kaka, huo ni wehu.