miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Jiweke tu kwa mshikaji anaonekana mtoaji....
ila siaweza mpa cha mchana
Jiweke tu kwa mshikaji anaonekana mtoaji....
ila siaweza mpa cha mchana
Ila mshkaji labda anamkaza sana....hadi mchana saa saba anataka...loh...
mmmmm....afu huyu binti anaweza ukawa wewe...manake na wewe kwa pesa...lol
Ameondoka sasa hivi....its crazy kwa kweli...Mungu asaidie sana..hahah
kwani wee hupendi pesa???
kwa hiyo kaja mfanyaje sasa ? kwa hiyo umeshafanya mapenzi ? yani wewe
Hahahahahahaha...hapana...nimemlia bati tangu jana so kaja kujiliza liza hapa......I acted differently tofauti na alivyonizoea..
Nimecheka sana hapo, "kwa hiyo mshafanya mapenzi"...
Masupastaa wetu hao ndugu yangu, kama MOTO WAUNGUZA GODORO, UKUTA KWA BELA - Global PublishersHuyo hana lolote kabwela kama mie, hiyo nikutaka uingie line uoneni wa matawi ya juu
Kumbe kuna yahaya wanawake pia
Kutaka tu ushauri kwa ishu hii ni kosa, huyu sio mkeo, unajua vyema anakujongeza nyuma halafu unaulizia maendeleo, hukuwahi kukutana na mwanamke mwingine zaidi ya huyu? Fanya maamuzi acha ujinga.Ndugu zangu,Miezi mitatu iliyopita nilikutana na binti mmoja mrembo sana kwenye chombo cha usafiriIlikua ni usiku,baada ya kukaa sehemu moja nikawa nime anzisha conversation ambayo mwanzoni haikupokelewa vizuri lakini baada ya kuonekana kusisitiza basi maongezi yakanoga.
Huyu binti ndani ya muda mfupi alinieleza mambo yake mengi mwishoni tukabadilishana namba za simuBaada ya kuagana kesho yake nikaomba appointment ambayo haikukataliwa tukaonanaIkawa kila siku nikitoka kazini ananitafutanikiwa kazini ananifuata ananisubiri jioni twende nyumbani Ilichukua wiki moja tu tangu kufahamiana nikawa nimejuana nae.
Ikawa ni kila siku asubuhi saa nne anakuja kazini kwangu jioni ananisubiri anipeleke home.Anabadili magari ndani ya wiki moja anakuwa na zaidi ya magari mawili tofauti.Tangu nimefahamiana nae amekuwa akiendesha Rav 4,Mark X,Brevis,Murrano na Benz, haya ndiyo amekua akibadili zaidi.
Huyu binti ana connection kubwa sana na wanasiasa kuanzia mkulu hadi wengineo wakubwa wote sio chama tawala.sio upinzani Kwake kupiga kwa mkulu ni kawaida.Tatizo langu kubwa nikimuhoji kinagaubaga kazi yake ni nini ananijibu anamanage projects mbalimbali kitu ambacho sijawahi kukielewa kabisa it doesnt click na ukimuhoji sana ili kujua specifics mnagombana.
Mimi kazi yangu siyo ya kipato kikubwa kihivyooo.Lakini binti anaamua tu kwenda sehemu ambazo ni za gharama kwangu bila kunitaarifu alafu nikifika ananiambia ni settle bill.Kwa mfano one day akawa ananisubiri mjini kumuuliza uko wapi.
Akaniambia niko serena njoo kufika ameshaspend laki 3 mimi kwangu hio ni kubwa sana hasa kama sikupanga then ananipa mimi ni settle hajanitaarifu before kwamba tunaenda pale.
Kubadili nywele mara mbili kwa wiki nikimwambia hiyo siwezi sina pesa ugomvi naambiwa mimi bahili.Katika movement zote of course ni mimi nimekuwa nikizigharamikia.Akija kwangu kuna nguo zake ameachahataki kuzivaa tena kila akija anataka nimnunulie nguo nyingine ya kuvaa kesho yake.Kwa hio kwa wiki anataka mnunue nguo saba.
Kumpenda nampenda lakini naona kama ananirudisha nyuma.Nimemkalisha kumweleza aelewe hali halisi.Mgumu kunielewa,tunagombana then.Tatizo langu lingine hapa hata kama una pesa vipi mipangilio ni muhimu huyu binti wangu haelewi na hapo mnagombana.
Jamani nikosoeni nishaurini kama kuna kitu nakosea