Nishaurini, mwanamke anapokuwa chanzo cha umaskini

Nishaurini, mwanamke anapokuwa chanzo cha umaskini

Duh! Umebeba gunia la misumari aisee. Hem zinduka kiongozi. Atakupa umaskini.
 
achana nae yanini kuishi na mtu unayemueleza asisikie!!!!?? binti asiyependa maendeleo wanini sasa!!!! wee tupa kuleee kichwa ngumu huyo hata uongee na kipaza sauti ni bureee! !!
 
umempa ushauri mzuri....na ndipo anapoelekea......siyo wote wanaoiba wanapenda kuiba.....bali ni mambo kama haya.....kutaka kumfurahisha mpenzi.........

Inaudho sana mtu anapokuwa anaumizwa huku haoni.
 
achana nae yanini kuishi na mtu unayemueleza asisikie!!!!?? binti asiyependa maendeleo wanini sasa!!!! wee tupa kuleee kichwa ngumu huyo hata uongee na kipaza sauti ni bureee! !!

miss mahondaw wewe hupendi new nguo kila siku
 
Last edited by a moderator:
Hafai huyo mdau ndo akina wema sepetu huyo wanatamaa balaaa
Vp ushamgegeda kama tayari potea ibilisi huyo.
Mi yalishanikuta kabila hilohilo yuko airpot pale kampuni flani ya wadosi
Yan ni balaa kila siku nifuate akitoka job usiku yan nitoke mikocheni to airpot then kgambon na cc 2500 si balaa hlo nikashtuka.

Kumbe wengi ni wahanga wa hii tabia
 
Back
Top Bottom