ha ha haha nilitaka kujua mwenzio anapewa hadi cha mchana
We si umesema hupendi vya lunch hour!!!?
mimi sipendi ila nafurahi kusikia mtu anapewa vya mchana
Kwa nini hupendi? Mchana unakaguliwa kunako nonino?? Hahaha!!
Kwa nini hupendi? Mchana unakaguliwa kunako nonino?? Hahaha!!
sasa sisi tukusaidieje?
Manake hatuna fedha.
Sio uongo...ni ukweli mtupu...sina sababu yoyote ya kudanganya
Hana ''Element'' za kikwenu huyuanataka kuuliza je aendelee naye wakati anafilisika?
Hana ''Element'' za kikwenu huyu
Ana tafuta umasikini kwa nguvu....
kweli aisee mimi usiku tu aiseemchana hapana
khakhaaaa sipati picha na hilo joto la daslam mbona mnakoma ukutane na dume lafi lafi utajutraaaaaaa... huku kwetu hali ya hewa yenyewe inashawishi yani hakuna ujanja