Utapewa kofta shauri yako hehehe
Akili ako imawaza uzinzi tu..ivi how z t possible nikutake mgonjwa wa akili??Maumivu ya kichwa huanza polepoleee na safari moja huanzisha ingine......
Nilisema mimi na niloshang'amua tangu unaanza na matibabu yako ya kienyeji.....
Ona sasa unakoelekea... kule kule. ..
Unaanzaje kupata ruhusa mbele ya Dadii kwa mfano.....
Nshakwambia msaada wako peleka huko Kasie is for Dadiii only. Hahahahahhahaa halafu naona umeongeza na technic ingine hehehehehehehehee refer your avatar
Kasie matata.
Haya ondoka upesi, kwa nini hukuangalia njia kabla hujapoteaSorry
Nimekosea njia
Wewe unaitwa Kasie nani?
Kasie Mtata au Kasie Mahabat?
nitafute nikusimulie.....Sijambo kabanga, kila nikikuona nakumbuka hadithi ya kabanga amtupa mkononi. .... kama sijakosea heading ya hiyo hadithi.
Wasalimie wa kwako.
nitafute nikusimulie.....