Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Oddo niokoe !
Uzi unafanywaje kuwa sticki eti wanalipiaga?
Huyu mtoa m10 wamjua?
Mwenye NGO ya watoto yatima je?
Hakyamama nafwa dadako !

Mie kama celeb wa kiume nishamjua.
Afu sticky ni matycoon wa humu ndani inaelekea. King'asti hivi Paw hajakuambia ni wakina nani??.
 
Last edited by a moderator:
Oddo niokoe !
Uzi unafanywaje kuwa sticki eti wanalipiaga?
Huyu mtoa m10 wamjua?
Mwenye NGO ya watoto yatima je?
Hakyamama nafwa dadako !

Nilipie ili uwe sticky? ili?
Atakae nijua ni my sis Kongosho tu sababu huyu ndio alikuwa nami bega kwa bega
 
Nimecheka sanaa huyu mtoa mada ajiandae pm za mitongozoo watu wana uchu na pesaa
 
  • Thanks
Reactions: amu
We fanya bas nlivokwambia niendelee!
Kwani kumfumania bar na rum ni issue?
Lamborghini mi hata nikikikufumania kiunoni poa tu!.
Ahahahahahahahahaha watu mnafurahisha nyiiiie!

Ha ha ha jamani nacheka sana.
 
Last edited by a moderator:
Hana zuri walau moja? Au mawili? Doesn't he make you laugh? Au hakusababishii goose bumps ukimuwaza tu?

Team samehe Lambogini.

Asome thread ya The Boss ile ya mashabiki wa hispania.
Ha ha walau mie hapa nawaza tu 10M,kila nchi.
Mweeeeeeee afu Rapunzel brain yake iko on all the time.
 
Last edited by a moderator:
Paw yuko partenity leave
King'asti martenity ,sa hiz wanaongelea diapers na baby walkers tu"

Mwalimu hebu sema ukweli, leo wanafunzi wenzangu wamesoma au ada imepotea bure?

Hakyamama una kipaji cha umbea kuzidi cha ualimu. Umbea kwako ni wito, mshindani wako Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom