Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Yaani kwa kweli hawa viumbe hatari wamefanya hasira zangu zipoe na sio kwisha Kongisho Munkari na snowhite mmetishaaa

oooh!!!mama!!! Basi shoga ngoja nkunong'oneze... Najua sahizi msweet wako anakuandalia ka milioni 20,fanya hivi tulaki 2 tu twa vocha ntagawana na snowhite hatuna makuu,afu mwezi ujao si unakuja? Usipate shida mbeba mizigo nipo!!!
 
Last edited by a moderator:
Heaven on hearth njooo kastiky kamerudi!!! Nimewatafuta nyie haki ya nani! Loh!
 
Last edited by a moderator:
Haya wajameni HONGERENI kwa kusameheana.mungu awasimamie katika mapenzi yenu!! Msinikose KADI mwakani! Sawa lambo na Rapunzel ?
 
Last edited by a moderator:
Oooooooooooooooooooh!!!!!!!!!! pole sana mkuu, hope atakuwa amekuelewa huyu mrembo wa haja zote anaeutesa mtima wako, keep on contact with her cause No way out you can overcome your weakness on her! Rapunzel please mamitoh ihurumie hii jamaa yangu iko teseka sana juu ya uzuri wako! Mmmmmmmh but mkuu angalia usije kuwa candidate wangu hapa mirembe. tchaaaaaoooooooooooooooooh
 
Last edited by a moderator:
Kumbe JF tamu hivi, ila mimi sikukaribishi JF kamwe, njoo mwenyewe ila ID yako nitaijua tu
 
Rapunzel naomba uwe kungwi wangu usinidanganye kitu
hata kama ni kizizi nigaie na mie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom