Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

He he he, hajui unatania unaotaniaga nao tu. Unakumbukaga siku ile? Sitakaa nirudie, naa adabu zote.

Hahahahahaha hii sikuisoma!
Mweeeee tulikuwaje vipiritoni!
Khaaaaaaaaaa ahahahahaha ila sisi kuna siku tutaduuuuuundwa !
Watatuvizia watubonde!
Ila uzuri sie wenyewe mabaunsa,ni vile tu King'asti analea,hata hivooooo hatugusi mtu weeee!
OLESAIDIMU anawaachaje sasa?
 
Last edited by a moderator:
Tena, piriton uikate mara hamsini elfu, siku hizi adabu mbele kama tai

Huu ulezi(vimaanishi nafaka) umemfanya King'asti akawa bizeeee.

Hahahahahaha hii sikuisoma!
Mweeeee tulikuwaje vipiritoni!
Khaaaaaaaaaa ahahahahaha ila sisi kuna siku tutaduuuuuundwa !
Watatuvizia watubonde!
Ila uzuri sie wenyewe mabaunsa,ni vile tu King'asti analea,hata hivooooo hatugusi mtu weeee!
OLESAIDIMU anawaachaje sasa?
 
Hahahahahaha hii sikuisoma!
Mweeeee tulikuwaje vipiritoni!
Khaaaaaaaaaa ahahahahaha ila sisi kuna siku tutaduuuuuundwa !
Watatuvizia watubonde!
Ila uzuri sie wenyewe mabaunsa,ni vile tu King'asti analea,hata hivooooo hatugusi mtu weeee!
OLESAIDIMU anawaachaje sasa?

Terr them yua braza iz a brus riiii.....................:boxing::fencing:
 
Hii hadithi kama ya alifu ulela ulela. Pole mkuu zungumza nae atakuelewa nasikia eti wanasemaga penye ugomvi penyeza rupia, sasa mpe hela kwa wingi uone kama ugomvi utaendelea kuwepo
 
moyo ukiumia hela haina maana. Utamu wa hela moyo uwe na amani.

Hii hadithi kama ya alifu ulela ulela. Pole mkuu zungumza nae atakuelewa nasikia eti wanasemaga penye ugomvi penyeza rupia, sasa mpe hela kwa wingi uone kama ugomvi utaendelea kuwepo
 
Back
Top Bottom