Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Napenda kutoa angalizo nimeongea
na msweet wangu nashukuru safari hii ametulia kwenye simu kutokana kuwa Yuko job tutamaliza maongezi yetu kwenye Skype usiku

jitahidi kumbembeleza kwa sauti tamu besi kidogo hiyo usiku afu kiri makosa na ikibidi na machozi kwa wingi afu skype si ndo zile simu mnaonana live akipokea tu piga goti hakikisha kinaeleweka asubuhi ulete mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom