mr maprosoo kama kuna second tender ya kukuombea msamaha sema au opotunity imefungwa lol
najuta aisee
Ujuee mi nipo toka asbh hapa!
Nionee huruma kwa kuniambia tu we nani
Ulaya utachagua mwenyewe kama niende au la!
Naumwa hapa ujueeee,nikipima Sukari lazma haitakuwa nomo!
Maana yake shamba!!! au ina maana nyingi kwahuko usukumani??
Natamanije kumjua mweeh
Napenda kutoa angalizo nimeongea
na msweet wangu nashukuru safari hii ametulia kwenye simu kutokana kuwa Yuko job tutamaliza maongezi yetu kwenye Skype usiku
Id mpya hii ya zamani keshasema kaiweka kapuni
Oooh sawa
Just like the old days
Deo ,hapa yako haya,mawili
Wamerge hizi two IDs au watufungulie pm!
Vinginvyo wazifungulie ID zote walizounganisha!.
Wakianza na ya Morg na Vai!
Bujibuji na Gilesi
#bringbackourmorgorgiveusourlambowazamani #
kama Paw ni type ya aweeee mama weeeee hapo sawa
Mwenzangu mie mwenyewe sijui nimepitwaje tu.Ila tuongee nae vizuri anaweza kutupa hata mtaji wa mil.1 kila mtu
Napenda kutoa angalizo nimeongea
na msweet wangu nashukuru safari hii ametulia kwenye simu kutokana kuwa Yuko job tutamaliza maongezi yetu kwenye Skype usiku
Nikalimani nini dia nzuna?
Ndio ninayo, na ile kadi ya njano ninayo, sina rekodi ya magonjwa ambukizi wala uhalifu.