Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

akina The Boss Mnaolalamika hii thread kuwa sticky.. changia jf mikono mitupu halilambwi
 
Last edited by a moderator:
Wadada wote walio ku pm kuniulizia waambie mi nilichangia milioni 20..please its important lol

Hahahahahah kwani wewe ndio @ Lamborghini?

JAMANIIII!!! Eeeee theboss alinipa 20mil I hope jibu wamelipata hapa hapa
 
Last edited by a moderator:
Thread kama hii itafanya wale wa free p washtakiwe mahakamani...milioni kumi ya charity?halafu ndo mtongozo? Cc lara 1

mkuu ni kwa aajili ya watoto yatima japo moyo ulivutiwa nae nilivyomuona
 
Last edited by a moderator:
jf:where amazing happens..
Join Date : 30th May 2014
Du nikweli kabisa aani humu kuna vi-Story vya ajabu ajabu
Nchi za watu, ngozi nyeusi unatukanwa CHIPANZEE /GORILA ntu wa watu bado unakenua
mwenzako anawacharaza makofi ya USO huulizi sababu

Lamborghini hebu malizia ni tusi gani hadi Bibie apigane maana inaelekea lilitokana au kusababishwa na wewe kufananishwa
 
Back
Top Bottom