Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

usiwasikilize washakunaku na vizabizabinw,wifi yako niko hapa.

Wee ni mke wetu kabisa.

Shikamoo nimekuvulia kofia.
Ndo nimemalizq kusoma thread zote afu nimegundua hata Mentor naye alisoma page kwa page.
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu hebu sema ukweli, leo wanafunzi wenzangu wamesoma au ada imepotea bure?

Hakyamama una kipaji cha umbea kuzidi cha ualimu. Umbea kwako ni wito, mshindani wako Kongosho.

Yaani kwa kweli hawa viumbe hatari wamefanya hasira zangu zipoe na sio kwisha Kongisho Munkari na snowhite mmetishaaa
 
Last edited by a moderator:
Oddo niokoe !
Uzi unafanywaje kuwa sticki eti wanalipiaga?
Huyu mtoa m10 wamjua?
Mwenye NGO ya watoto yatima je?
Hakyamama nafwa dadako !

yaani we snowhite huwa unanichekeshaga lol
nikikusomaga huwa nacheka sana
 
Ahahaha na wewe ni Kongosho, King'asti yani zile ID chizi chizi zote zako...lol. Mwalimu nahisi leo watoto wameenda nyumbani saa sita walai!!!



"You are not alone..."



Cc: 7 5 mm hahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahaha




KWani we Morg?




Jamaa alikuwa na ukame akaamua apunguzie hapo. Rappue ndo alikosea walahi.




Hapa elimination method tu ndo itafanya kazi.

I wish watu8 angepita hapa ila pia Heaven on Earth hushindwi kutueleza jambo. Tuanze na old ID ya huyu bidada.

Halafu Kaizer mbona umesahau kuwataja: KakaKiiza na Nicas Mtei (na amepotea sana hapa jukwaani, sijui ndo alikuwa mamtoni?).

Aisaee kweli nilikuwa nahisi kuna ntu nimemsahau thank u sana nta update list
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo kwa kifupi ushamsamehe mzembe, na tunda utaendelea kumgea regardless 10m in the name of yatimaz.

Je unataka asinisamehe? acheni kumsakama na 10mil tena hiyo ni rough tu
na hana mapenzi ya pesa ana upendo wa dhati kwangu nimemjua vizuri ndani ya mwaka mmoja na nusu
Laiti ingekuwa mwanamke mwenye kunipendea pesa asingekuwa na ubavu hata wa kusema tuachane
 
Back
Top Bottom