Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Enheeeeeeeeee hapa sasa wangoni tunasemaga zikongini!.
Kongosho ukuje!
Asprin hii sredi inakukumbusha nini?
Hahahahahahahaha hakyanani huu msimu ni kama masika vile kila mwaka lazma uwepo!

Hata mimi nimewaza kama unavyowaza.... kimeo.
 
Last edited by a moderator:
Yaani angekuja na id yake anayoitumia ningeweza sema kitu hapa.
Maana ni mtu maarufu hapa mpaka wengine wanmfungulia topic za kumsifia ila kwa hili wacha libaki hivi hivi

Haya basi msameheane na mmalize haya mambo msijianike hivi!kila la kheri
 
mi na wewe tu baaaasi!!!...hahaha! mtoa mada njo jibu mashtaka si unataka kusamehewa??
Duuuuh!
Ujuee najaribu kuwaza mkaka yupi anafunguliwa mpk sredi,af maarufu maaruf hiv!
Ndrukiiiiiiiiiiii .
Ila ngoja kwanza nani aliwahi kukuja na sredi ya watoto yatima na charity sijui!.
Thiiiiiiiiink Munkari thiiiiiink!.
Umbea utaniua huu yaillahi!
Natamani kweli kuacha kuwaza ila mawazo hayaondokiii ujuee!
 
Kaizer nimemlaza muda si mrefu, kunani hapa hebu nisimulie kabla sijamuamsha
Yani huu ufufuko unaoendelea hapa nashindwa niupe tendo gani la imani
-nifunge
-nitoe sad aka
-nisome litrujia
Au nihudumie yatima!?
Selewiiiiiii!
Niitie Kaizer
 
Last edited by a moderator:
I swear kiuno changu kimeunganishwa na umbea, sasa hivi kinakata kona tu bila kunishirikisha.

Makubaliano yetu yalikuwa nje ya Jf sipendi show off za kijinga na tulikubaliana hata kama tutapigana mangumi iwe out of Jf ..we umefanya nini hapa???

snowhite Kongosho Munkari.

Rapunzel kaja huku.

ngoja sinema iendelee.

Enheeeeeeeeee hapa sasa wangoni tunasemaga zikongini!.
Kongosho ukuje!
Asprin hii sredi inakukumbusha nini?
Hahahahahahahaha hakyanani huu msimu ni kama masika vile kila mwaka lazma uwepo!
 
Yani huu ufufuko unaoendelea hapa nashindwa niupe tendo gani la imani
-nifunge
-nitoe sad aka
-nisome litrujia
Au nihudumie yatima!?
Selewiiiiiii!
Niitie Kaizer

mimi hapa kwa maana umeniita.. snowhite, unamfaham DEMBA? Ni mke wangu nampenda sana
 
Last edited by a moderator:
Hebu nipe list ya maarfu kwa kufungukiwa ma sred, from there naweza ku draw konclusheni.

Yani huu ufufuko unaoendelea hapa nashindwa niupe tendo gani la imani
-nifunge
-nitoe sad aka
-nisome litrujia
Au nihudumie yatima!?
Selewiiiiiii!
Niitie Kaizer
 
Rapunzel, legeza moyo, Lambogini asije kuwa ferari ya bluu, spesho dedikesheni, on bended knee

Last edited by a moderator:
Mie nshawaza hadi akili za uzeeni zimeisha.

Afu wajinga hawa, wasije kuwa wamehamia PM, maana mie moyo wangu wote umelala hapa.

Duuuuh!
Ujuee najaribu kuwaza mkaka yupi anafunguliwa mpk sredi,af maarufu maaruf hiv!
Ndrukiiiiiiiiiiii .
Ila ngoja kwanza nani aliwahi kukuja na sredi ya watoto yatima na charity sijui!.
Thiiiiiiiiink Munkari thiiiiiink!.
Umbea utaniua huu yaillahi!
Natamani kweli kuacha kuwaza ila mawazo hayaondokiii ujuee!
 
Duuuuh!
Ujuee najaribu kuwaza mkaka yupi anafunguliwa mpk sredi,af maarufu maaruf hiv!
Ndrukiiiiiiiiiiii .
Ila ngoja kwanza nani aliwahi kukuja na sredi ya watoto yatima na charity sijui!.
Thiiiiiiiiink Munkari thiiiiiink!.
Umbea utaniua huu yaillahi!
Natamani kweli kuacha kuwaza ila mawazo hayaondokiii ujuee!

hahahahahahaha!! Ujue natumia simu hahaha em fanya kusachi ukonekti vidot utapata kuona maajabu! Hahaha!!
 
Back
Top Bottom